Mr Fresh
Member
- May 30, 2021
- 23
- 75
Solana ni smart contract blockchain ambayo inatumia Proof of Stake(POS) mechanism kama zilivyo etherium na Cardano.
Isipokuwa Solana imeongezewa mechanism/protocal nyingine ambayo inaitwa Proof of History(PoH) ili kuiongezea hii blockchain speed zaidi.
Solana Blockchain ndiyo inabeba na kuiendesha coin yake inayoitwa SOL.
Sifa kubwa zaidi ya Solana ni kuweza kuichakata miamala mingi zaidi kwa sekunde ukiilinganisha na etherium.
Solana inaweza kuchakata miamala hadi elfu 50 kwa sekunde 1 tu wakati etherium inaweza kuchakata miamala 15 hadi 45 tu ndani ya sekunde 10 hadi 15.
Ni ajabu eh....
Lakini ndo hivyo...
Solana pia inatumia makato madogo zaidi ya miamala kwa sababu mara nyingine utaweza kuchajiwa mpaka dola 0.00025 kwa kufanya muamala mmoja kupitia solana blockchain
Solana ni rahisi kuifanyia programming,kuongeza decentralized apps na Crypto games kwa sababu inajiendesha kwenye software ambayo inaitwa 'Rust'. hii language yake ni rahisi zaidi kuitumia kuliko solidity ambapo ndipo etherium inapojiendesha
Marketcap ya Solana kwa sasa ni bilioni 42 za kimarekani ikiwa pia bei yake sokoni kwa sasa ni dola 136.76.tukumbuke pia Solana ilishawahi kufika dola 260 miezi miwili tu iliyopita hivyo pia kwa sasa bei yake iko chini zaidi na ni muda mzuri wa kuinunua
Anatoly Yakovenko na Greg Fitzgerald ndo waanzilishi wa hii project na ni wabobezi wakubwa wa maswala ya software development.

solana ni jina la mtu wa kike