Hebu Tubadilishe Maisha ya Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu Tubadilishe Maisha ya Watanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mboje, Dec 10, 2008.

 1. m

  mboje Member

  #1
  Dec 10, 2008
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati wa kulia na kudai eti hakuna ajira Tanzania, inafika mwisho sasa.
  Vijana kwa wazee wale wote wanaotaka kuondokana na hali ngumu ya maisha inayopanda kila siku, wanatakiwa kutambua kuwa mabadiliko ya kweli yapo mikononi mwao wakiamua.

  Kuna biashara nyingi zinazoweza kuwatoa katika hali ya umasikini, lakini biashara iliyonzuri na inayohitaji mtaji mdogo tu, lakini you actualy suppose to be informed about the company and the products is there to transform the life of Tanzanian wherever they are!!!!!!

  Inaweza kuonekana kama kitu kigumu sana, but trust me guys inawezekana kinachohitajika ni uamuzi wa dhati wa kuondokana na umasikini, na utaondoka!!!

  Biashara hii ni ya mtandao, siyo upatu ule watu waliozoea ila ni biashara serious na imeshazalisha mamilionea duniani. Ni biashara ambayo inaweza kubadilisha maisha ya Watanzania wengi, kwa kipindi kifupi tu, endapo watkuwa tayari kuifanya, haswa inavyotakiwa. Ni biashara ambayo watalaam wa biashara duniani wameweza kuitafsiri kama biashara pekee mtu anaweza kuifanya kwa urahisi, lakini professionally. You dont need an college degree to be qualify on this business, is just your integrity will make the difference in you.
  Take this not from Kiosaki book Retire Young, Retire Reach:-
  And I believe on this concept:-

  "If you want to be rich, you must build networks and link your networks with other networks. The reason it is easy to be rich through networks is because it is easy to be generous through networks. On the other side, people who act alone or as individuals limit their chances for economic success. He went on to say, "Networks are people, businesses, or organizations that you are generous with because you support them and they support you. Networks are powerful forms of leverage. If you want to be rich , build a network and network with other networks"

  Sasa basi biashara ya mtandao hasa zile zianzoshabihiana na afya is the only one business which will be transform the individials life after been networking themselves with others.
  For more information about this you can visit this blog Afya & Utajiri

  Karibuni tufurahie pamoja maisha haya ambayo yanawezekana bila kutumia muda wako mwing, kufikiria kuhjusu ajira kila kukicha, kwa walio madarakani kufikiria juu ya rushwa na mambo kama hayo

  Gooood luck all and wish you all the precious time on your Christmass & the Success Year 2009.
   
 2. K

  Korosho Senior Member

  #2
  Dec 10, 2008
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 132
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  na biashara yenyewe ni ........??
   
 3. m

  mboje Member

  #3
  Dec 11, 2008
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Biashara yenyewe ni kujiunga na mtandao kwa kutumia mwenyewe na kuwambia wenzako nao kuhusu matumizi ya hizo bidhaa....

  Biadhaa za kusaudia afya na kuufanya mwili uwe na kinga za kiasili ambazo hatuwezi kuzipata siku hizi katika milo yetu ya kila siku.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mkuu vipi mafanikio ya hiyo biashara?
   
 5. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu mwenyewe unawezakuta alishakula hasara anafikiria atokeje tena?
  <br />
  <br />
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  hili nalo neno! Kama yupo atuambie labda tunaweza kuwa inspired.
   
 7. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Want to be a champion?
   
Loading...