Ahsante,mkuu MISULI amenielewa swali langu. Hoja iliyo sababisha swali langu wewe umeielewaje?
Wewe usiongozwe na nani alisema na kafanya nn.Mimi nahoji inawezekanaje upigwe risasi 38 ubaki salama?Sasa hapa ndio uje na facts sio oooh daktar mara rufaa nk.Kwamba bunduki ya kivita ndio matundu yale tunayoyaona?Kwamba risasi nyingine ilitua karibu na spinal cord na jamaa hakupoteza faham. Na bado kabla hajaenda Belgium huko Kenya aliweza kufanya conference na hiyo risasi mgongoni. Usilete story za nani kasema mara cjui nn,hizo ni fallacies. Njoo na picha halisi au assume unatengeneza movie yenye mashiko,je hiyo movie itakua movie kweli au ndio zile za bongo mzimu unavuka kwenye zebra?Matibabu yake kwa kiasi kikubwa yalikuwa sio ya siri, mwanzo kabisa madaktari wetu ndio walianza nae na ndio walio mrufaa.Spika akawatangazia wabunge lililo mpata mbunge mwenzao na idadi ya risasi zilizo mjeruhi.Rais wetu akatuma salamu za pole kwa huruma kabisa, na kuviamuru vyombo vya usalama kuwasaka watuhumiwa.
Kama Chadema/Lissu ametengeneza tukio, vipi madaktari wa Dodoma, Spika na Rais wetu?!! Maana yake waliingizwa chaka. Na nani?
Siasa zisiongoze akili zetu, siasa zimetukuta tunaishi kwa upendo, tukiwa tunashirikiana koo na koo, kijiji na kijiji kingine... Kama Lissu amepona, ni Mungu ameamua kujidhihirisha ukuu wake kupitia yeye.
Hakika. Nashangaa kijana kaniangushia tusi la kufungulia mwaka.Uncle, nadhani ulitaka umwoneshe ugumu wa kukiri kuwa "Anaamini hazikua risasi";Japo sijamwelewa MISULI kuwa hoja yake ni idadi ya risasi zilizompiga au ni haamini kama alijeruhiwa na risasi.
Hii issue ya TLS imeichafua serikali yetu sana, na kama wapinzani walidanganya serikali isingekaa kimya bali ingetoa video/picha za CCTV cameras.
Mkuu, kwa arguments za aina hii hata TL akikuambia ukweli hutomuamini.Wewe usiongozwe na nani alisema na kafanya nn.Mimi nahoji inawezekanaje upigwe risasi 38 ubaki salama?Sasa hapa ndio uje na facts sio oooh daktar mara rufaa nk.Kwamba bunduki ya kivita ndio matundu yale tunayoyaona?Kwamba risasi nyingine ilitua karibu na spinal cord na jamaa hakupoteza faham. Na bado kabla hajaenda Belgium huko Kenya aliweza kufanya conference na hiyo risasi mgongoni. Usilete story za nani kasema mara cjui nn,hizo ni fallacies. Njoo na picha halisi au assume unatengeneza movie yenye mashiko,je hiyo movie itakua movie kweli au ndio zile za bongo mzimu unavuka kwenye zebra?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye neno MUUJIZA ndipo mnapogeuzwa WAPUMBAVU. Ni kitu ambacho hakipo na ikatokea mtu kahoji mnakuja na cheap argument za MUUJIZA mara Mungu hakupanga.Mkuu, kwa arguments za aina hii hata TLS akikuambia ukweli hutomuamini.
Zilifyatuliwa risasi zinazokadiriwa kufika 38 ila zilizompata ni 16.TLS amepona kwa 'MUUJIZA'.Mkuu, ukipigwa risasi moja(achana na hizo 16) ukafanikiwa kusurvive ni muujiza pia na utamshukuru Mungu.
Hili neno 'MUUJIZA' lipo katika jamii kutokana na matukio kama haya ambayo ni magumu kuyaeleza.Neno moja linaloeleza sintofahamu uliyonayo ni 'MUUJIZA'.
Yes, it's unbelievable but it has happened!!
Sasa kwamba risasi ikiwa karibu na spina cord si hawaitoi au?? Wewe kwani umeambiwa lisu katolewa risasi zote mwili???? Kuna sehemu risasi hazitolewi..Kwenye Brain..Spinal cord sehemu ambazo Nerve supply ni Nyingi inakuwa ishuu can cause paralysis so usikaze ubongoHizi ni hoja ambazo bavicha hawataki kuzisikia. Wameambiwa risasi nyingi ilikua karibu na uti wa mgongo. Kwakua huko ufipa ni ZERO BRAIN hakuna hata wa kupitia mambo ya central nervous system iko vipi na nini kazi ya spinal cord. Shule inasaidia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe unadhani Mungu angepanga Angekuwa Hai hadi leo????Hapo kwenye neno MUUJIZA ndipo mnapogeuzwa WAPUMBAVU. Ni kitu ambacho hakipo na ikatokea mtu kahoji mnakuja na cheap argument za MUUJIZA mara Mungu hakupanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah watu wa ufipa kweli akili ndogo.Yaani mngeambiwa risasi nyingine ilitua kichwani na haijatoka bado mngeamini.Sasa kwamba risasi ikiwa karibu na spina cord si hawaitoi au?? Wewe kwani umeambiwa lisu katolewa risasi zote mwili???? Kuna sehemu risasi hazitolewi..Kwenye Brain..Spinal cord sehemu ambazo Nerve supply ni Nyingi inakuwa ishuu can cause paralysis so usikaze ubongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umehudhuria mafunzo ya matumizi ya silaha? Unajua sehemu gani unatakiwa umpige risasi adui yako ili afe?Wewe usiongozwe na nani alisema na kafanya nn.Mimi nahoji inawezekanaje upigwe risasi 38 ubaki salama?Sasa hapa ndio uje na facts sio oooh daktar mara rufaa nk.Kwamba bunduki ya kivita ndio matundu yale tunayoyaona?Kwamba risasi nyingine ilitua karibu na spinal cord na jamaa hakupoteza faham. Na bado kabla hajaenda Belgium huko Kenya aliweza kufanya conference na hiyo risasi mgongoni. Usilete story za nani kasema mara cjui nn,hizo ni fallacies. Njoo na picha halisi au assume unatengeneza movie yenye mashiko,je hiyo movie itakua movie kweli au ndio zile za bongo mzimu unavuka kwenye zebra?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kasema risasi Ipo kwenye Ubongo hapo????Hahahahahah watu wa ufipa kweli akili ndogo.Yaani mngeambiwa risasi nyingine ilitua kichwani na haijatoka bado mngeamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa zile risasi zotee huwezi kuponaa mzee babaa...!! Haijalishi alipigwa risasi ngapi ishu ni KUPIGWA RISASI eneo lenye usalama mkalii na CCTV camera kuondolewaa...
Ok, kwahiyo wewe unadhani ilikuaje?Hapo kwenye neno MUUJIZA ndipo mnapogeuzwa WAPUMBAVU. Ni kitu ambacho hakipo na ikatokea mtu kahoji mnakuja na cheap argument za MUUJIZA mara Mungu hakupanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kukosa shabaha risasi 38?We ushawah ona tukio la assassination likatumia risasi nyingi kiasi hiki na mtu akawa mzima?Kwanza unaambiwa jamaa walianza kumfuatilia toka Dar hahahahahahahUmehudhuria mafunzo ya matumizi ya silaha? Unajua sehemu gani unatakiwa umpige risasi adui yako ili afe?
Asilaumiwe TL kupona kifo (kifo ni mipango ya Mungu) bali alaumiwe muuaji aliye kosa shabaha akaishia kumuumiza tu. Jambo la muhimu zaidi tusimfundishe Mungu kazi za kupokea roho za watu kwa matakwa ya mwanadamu.
Kuna miwatu mijingaa sanaa yani... Eti mtu anakaa kubishana Lisu Hakupigwa risasi 38 ??? Serious kabisa... hata ingekuwa Mojaa bado njama mbaya za Jiwee hazifaii kutetewaa...Ok, kwahiyo wewe unadhani ilikuaje?
Sasa ndo mjue mlikodishaa jamaa falaa kama nyiee..Huko kukosa shabaha risasi 38?We ushawah ona tukio la assassination likatumia risasi nyingi kiasi hiki na mtu akawa mzima?Kwanza unaambiwa jamaa walianza kumfuatilia toka Dar hahahahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani Jamaa ukute ashabaki mifupa tu..!! Inasikitisha sanaaMimi binafs siamini kama Ben yupo hai ad sasa iv kwa sabab n ngum sana kutunza mateka kuliko kumteka....
Na why wamueke ad sasa!?
Kwa utawala huu hawez kua hai
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna risasi 38 zilizotumika na kama zilitumika hakukua na malengo ya UUAJI. Muuaji ni risasi 1 au 3 tu tena haiitaji akufuatilie toka Dar hadi Dom na wewe unamuona.Kingine Sio Rahis upigwe risasi karibu na spinal cord na bado network iwepo. Nishashuhudia jamaa pingiri zilicheza kidogo tu,Huo ubebwaji wake sio masihara. Huyu wa risasi bado iko kwenye mgongo na anapata chance ya kuongea huko Nairobi ni uhuni na kuwafanya watu wote hamna shule kichwani.Ok, kwahiyo wewe unadhani ilikuaje?