Hebu nipeni ushauri wanajamvi

on point Hippo
 
ulimtafuta wa nini kama UMUAMINI!! mawasiliano,kuonana,kuvuana ch*u*pi,!!!! ulitumia ndom kweli
 
Nazjaz ebu njoo umone huyu! Uenda ndio yule aliyekua na begi kiunoni.
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wapewe nini jamani wasilalamike?? mimi huwa siwaewi kabisa.

Eti wanaume nisaidieni kuelewa,huwa mnataka nini haswah kwa wanawake????😡
 
Wanaume wapewe nini jamani wasilalamike?? mimi huwa siwaewi kabisa.

Eti wanaume nisaidieni kuelewa,huwa mnataka nini haswah kwa wanawake????😡

papuchi!
 
Ila kweli wewe gaidi umemgegeda halafu unaanza kujenga mazingira ya kumkimbia,

ila kweli wewe hata shetani atakulaani kwa ukofi wako
 
Hahahaha jamaa kala za uso mpaka kawa mpole.Cku nyingine usilete utoto kwa wakubwa,unachapwa viboko.Watu wanatafuta wake wa kuoa wewe unaleta masihara hahahaha.
 
yaani ndugu watu wengine wanapenda kuwaona wenzao wana kasoro ilhali na wao wanakasoro hizohizo
 
Kwanini usimueleze mwenyewe mashaka yako?
Tell her you need some time ili mfahamiane vizuri
 
Mchunguze mpaka miaka 50 ndio atafaa kumuoaaa
 
yaani ndugu watu wengine wanapenda kuwaona wenzao wana kasoro ilhali na wao wanakasoro hizohizo

sijakataa kuwa sina kasoro kumbuka tulikutana kwaajili ya kupigana na kusepa lakin mwenzangu anataka kupack basi.......ungekuwa ww mmekutana katka mazngira hayo ungeweza kuoa kweli??
 
sijakataa kuwa sina kasoro kumbuka tulikutana kwaajili ya kupigana na kusepa lakin mwenzangu anataka kupack basi.......ungekuwa ww mmekutana katka mazngira hayo ungeweza kuoa kweli??

katika mawasiliano yenu, una uhakika kuwa mlikubalina kufanya tu uzinzi? Naelewa wanaume tuna gia nyingi ila jaribu kukumbuka kama kuna maneno uliyoyatumia ambayo yanaleta mtazamo wa long relationship. Ila pia punguza mambo yetu yale maana hayaleti sifa,maendeleo na hata utukufu kwa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…