Moja,
Kuandika(Uandishi) wa bila vituo unachosha sana.
Pili, hivi huoni hata kama ukipata ushauri mzuri na mlikutana humu(possibly yeye bado ni JF member) itahatarisha uhusiano wenu?
Naomba kuuliza, ni kwanini unasema wewe ndio uliyevutiwa zaidi kwake? Ulipimaje hili.
Nafikiri, ninyi wawili wote ndio wenye kuamua uhusiano wenu toka mara ya kwanza kuwasiliana, kuonana n.k. Yaani mlipanga uhusiano wenu uweje.
Suala la kutambulishana mapema kiasi hiki(mapema kwa maana mawasiliano yenu yanaonekana yako less physical, na 'fiziko' hapa simaanishi kukutana kimwili ila uwepo wenu wa kimwili bila kuhuusisha ngono).
Either, one of she is too desperate au she is trully into you. But i highly doubt of the later kwa sababu, ya jinsi ya kukutana kama ulivyoeleza.
hahahahaaaa sijajua unachoshangaa nini maana wote mnafanana... wewe unashangaa imekuwaje akakuruhusu umgegede pasipo kujuana vizuri mbona na wewe ulikuwa tayari kugegeda pasipokumfahamu vizuri...... nadhani mngekaa chini mzungumze hatma yenu na nini cha kufanya na pia mjipe muda wa kufahamiana vizurisimuamini kabisa kama aliweza kunivulia nguo wakati hata hatufahamiani vizur je kwa wengine atashindwa vp? Japo nmejaribu kumpeleleza sana kazin kwake hakuna sifa mbaya yeyeanafanya kazi ya unesi kiukweli wanajamvi simuamini kabisa huyu dada japo yeye anaonesha kunipenda sana hata mm nampenda ila iman naye sina naomba ushauri wenu
Hapo ndo ninapowashangaaga hawa viumbe wa miguu mitatu!Habar zenu kwa kila mmoja: naam bila kupoteza mda niende kwenye maada kuna dada mmoja nilibahatika kukutana naye humu jukwaan, tukapeana namba za simu mawasiliano yakaendelea lakin huyu dada tunakaa mikoa tofauti baada ya mawasiliano kukolea tukaamua kutumiana picha ikatokea kila mmoja kuvutiwa na mwenzie lakin mm ndio nilivutiwa zaidi na picha yake baada ya hapo tukapanga kuonana ikabidi nimuombe anifute mkoa ninaoishi, dada wa watu bila hiyana akaja. Kweli tukaonana sku hiyo kila mmoja aliduwaa kumshangaa mwenzie lakiin mm ndio nilivutiwa sana na yule dada kiukweli ni mzuri sana anakila sifa yule dada nilitokea kumpenda kupita kias na sikuamin kama ni binadamu wa kawaida nilifikir ni jini.... Naam baada ya hapo nikachukua taksi mpaka hoteli flani kiukweli hata yeye alifurahi sana kuwa na mm, siku hyo ilikuwa yafuraha sana kwangu ikabidi tuhamie sasa kwenye ulimwengu ulee ikafikia hatuua huyu bidada alitaka niende naye nyumban kwangu akakufahamu nami nikampeleka basi tokea hapo huyu dada anataka anipeleke nyumban kwao tutambulishane. Ushauri unahitajika hapa: huyu dada hatufahamiani vizur kwann anakuwa na haraka hivyo tena jambo lingine simuamini kabisa kama aliweza kunivulia nguo wakati hata hatufahamiani vizur je kwa wengine atashindwa vp? Japo nmejaribu kumpeleleza sana kazin kwake hakuna sifa mbaya yeyeanafanya kazi ya unesi kiukweli wanajamvi simuamini kabisa huyu dada japo yeye anaonesha kunipenda sana hata mm nampenda ila iman naye sina naomba ushauri wenu
hahahahaaaa sijajua unachoshangaa nini maana wote mnafanana... wewe unashangaa imekuwaje akakuruhusu umgegede pasipo kujuana vizuri mbona na wewe ulikuwa tayari kugegeda pasipokumfahamu vizuri...... nadhani mngekaa chini mzungumze hatma yenu na nini cha kufanya na pia mjipe muda wa kufahamiana vizuri
Hapo ndo ninapowashangaaga hawa viumbe wa miguu mitatu!
alikuvulia nguo kwani wewe hukuvua?and what was ur intention katika kuvua?ulitaka kuvua uoge then akakubaka ama mlifanyana kwa raha zenu.?
Humuamini..well kwanini ulimuita ama ulikeep conversation kama humuamini..!na je unataka umuamini vipi?dont be selfish..yeye kakuamini we unamtilia mashaka mkiachwa mnalalama!
nakuonya ukiendelea na tabia yako mkuu hutakaa upate mtu sahihi cos it seems u dunno what you want..and will always be in a trying relationship!
Listen no one is perfect...ukimpata ambae mna asilimia kadhaa za CHEMISTRY between you two ..thats all matters. Man dont play with someone's heart..talk to her mwambie we need to slow down if u have reasons to do that..ila kama ni judgemental reasons ..thats so stupid cos who are you to judge her?
sex on the first date is a no no idea but ikitokea mmefanya then mkaclick kuendelea its okay.
Ur not an idiot but ur so judgemental n thats beyond the meaning dude.
otherwise goodluck.
UKITAKA MAISHA YA BARAKA NA AMANI DONT JUDGE ANYONE.
Aisee!kuna watu mna shahada za kutukana wengine, yani unajidai kuomba ushauri huku una mtukana!
HIVI LENGO LAKO LILIKUWA NI KUMPELEKA KWA HOTEL? ALIKUBAKA? ACHA UTOTO.
HATA UJUI UMEANDIKA NINI! YANI UNASHANGAA KUVULIWA CHUPI ALAF UNA SAHAU KUSHANGAA KUVUA BOKSA KWA USIYE MUAMINI.
Mla mla leo, mla jana kala nini? Hiyo dharau ya shibe.