Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,810
- 1,373
Mnaofuatilia hao Tanzania one wanasomaga hadi wanakuwa akina nani, maana ukifuatilia utakuta Doctar bingwa ni yule aliyeunga unga mara memkwa mara QT, ukija wanasiasa mashuhuri utasikia kanunua chet, engineers, wanatoka China matajiri wakubwa duniani utasikia kaishia la saba sasa! Hao ma T.O wanaendaga wapi?