Hebu msome Dr. Shamer hapa na ushauri kuntu

Yapaswa upande uzi mpya ukisema mwanawake wengi wanajua kuoga hawajui kujiswafisha, jua tofauti ya kuoga na kujiswafisha alafu content upate kugwi kugwi haswa adadavue vizuri ili hili balaa la k kunuka lipotee
Kuna member humu anaitwa Gudume alishawahi kutupia nyuzi ambayo ilikuwa inajitosheleza kuwafunda hawa Dada zetu kuhusu suala kama hilo.
 
Si ungeenda kuiogesha na ww unakuwa kama sio baharia tu
Dah. ilikuwa kama kuna Panya amejifia humo ndani. Stim yote ilikata. Japo baada ya kuoga kulirudi kuwa kupya.
 
Yapaswa upande uzi mpya ukisema mwanawake wengi wanajua kuoga hawajui kujiswafisha, jua tofauti ya kuoga na kujiswafisha alafu content upate kugwi kugwi haswa adadavue vizuri ili hili balaa la k kunuka lipotee
 
Shamer huwa anamazungumzo mazuri, lakini mazungumzo ya kujifananisha na wanyama hapo ni tatizo. Me nlidhani hizo dakika 5-10 labda kwasababu ya foreplay kumbe kunusana utupu jamani!
Imekuwa ugoro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…