Hebu msome Dr. Shamer hapa na ushauri kuntu

Shamer huwa anamazungumzo mazuri, lakini mazungumzo ya kujifananisha na wanyama hapo ni tatizo. Me nlidhani hizo dakika 5-10 labda kwasababu ya foreplay kumbe kunusana utupu jamani!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji86]
 
Niivi wanawake wameamua kuziunga k tu [emoji117][emoji117][emoji117]eti unakutana na K inanukia biriani badala ya kudindisha tumbo ndio linanguruma njaa... Minyoo inapishana
 
Hivi Trump alitutukana Waafrika ama alituambia ukweli ambo mwenyewe hatuutaki tu kuambiwa .wacha tuone performance yetu Nzuri iko wapi
 
Hivi Trump alitutukana Waafrika ama alituambia ukweli ambo mwenyewe hatuutaki tu kuambiwa .wacha tuone performance yetu Nzuri iko wapi
Kinachoitwa ukweli ni dhana dhanifu tu isiyo na uhalisia wowote
 
Dhana dhanifu huendana na wasifu waafrica twajisifu twasahau mapungufu kunusa uchi mshana si uchafu.
Inategemea unanusa uchi wa nani, wapi na kwa muktadha gani... Mimi huwa nasimama na uhalisia kuliko ukweli... Ukweli hubadlilika kulingana na tamaduni mila na desturi lakini uhalisia haubadiliki
 
Sio kweli hii ni conspirancy to kwa kesi ya wanyama anachonusa pale ni mkojo ambao humsaidia kugundua kama jike yupo tayari kwenye heat au bado maana wanyama hu sex kwa ajili ya kuzaliana na wala sio starehe
kabisa. Asante sana kwa hii elimu.
 
Inategemea unanusa uchi wa nani, wapi na kwa muktadha gani... Mimi huwa nasimama na uhalisia kuliko ukweli... Ukweli hubadlilika kulingana na tamaduni mila na desturi lakini uhalisia haubadiliki
Ni kweli Mshana ila hivi vitu viwili lazima viende pamoja (simultaneous) na kwanza huanza Ukweli kisha unafata uhalisia .ndo maana unasema ukweli kisha mtu anajua kama ulichosema kina uhalisia ndo Maana JF watu wote wasomi na matajiri isipokua mm tu maana sijenda shule kabisa ukiwaona matajiri na wasomi wa humu ndo ukweli unapingana na uhalisia wao baathi lakini sio wote.
 
Unajua kuna kuoga na kujiswafi... Wanawake wengi wanajua kuoga lakini hawajui kujisafisha... Kujisafisha kwa mwanamke ni taaluma nyingine inayojitegea na inayohitaji unyago kamili
Yapaswa upande uzi mpya ukisema mwanawake wengi wanajua kuoga hawajui kujiswafisha, jua tofauti ya kuoga na kujiswafisha alafu content upate kugwi kugwi haswa adadavue vizuri ili hili balaa la k kunuka lipotee
 
Nitaileta kwa heshima yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…