Hebu msome Dr. Shamer hapa na ushauri kuntu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,973
Reaction score
861,552
Kabla hujasex na mwanamke tumia dakika 5-10 kunusa chupi au umbile la ua la mwanamke ile harufu inayopatikana kwenye uke au chupi ya mwanamke kitaalam tunaita ni Gemosphesex harufu hiyo husafiri hadi kwenye ubongo wa mbele wa ubongo ambapo harufu hiyo itatafsiriwa na ubongo kisha kukupa uwezo mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa na mwanamke huyo kwa kiwango cha juu zaidi.

Umewahi kujiuliza kwanini viumbe na wanyama wote kabla ya kufanya sex huanza kwa kunusa uchi wa jike lake kwanza kabla ya kufanya chochote kile ?

Basi hii akifanya binadamu 100% percent mwanaume anaweza kushiriki tendo la ndoa kwa kiwango kirefu zaidi na kwa mdaa mrefu kikubwa harufu ya uke wa mwanamke kama utakuwa na harufu mbaya utafanya ubongo kutozalisha tindikakali kwenye ubongo hivyo lazima mwanamke awe na usafi wa mara kwa Mara.

Dr shamer
 
Sio kweli hii ni conspirancy to kwa kesi ya wanyama anachonusa pale ni mkojo ambao humsaidia kugundua kama jike yupo tayari kwenye heat au bado maana wanyama hu sex kwa ajili ya kuzaliana na wala sio starehe
Pheromones au sio?
 
Sijui kwa nini nimemkumbuka yule Beberu wangu kule kijijini ambacho huwa anakifanya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnyama ananusa ili kupata kujua iwapo jike yupo ktk hali ya kupata mimba (ana joto). Wanyama wananusa uke wa jike sio kwa sababu ya starehe bali uzazi.


Wanyama wasionusa, ndio hufanya ngono kwa starehe

Bazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…