Wakubwa naomba mnisaidie kujibu swali hili baada ya mifano michache ifuatayo
anakupenda unampenda kwa hiyo mnapendana
unamheshimu anakuheshimu kwa hiyo mnaheshimiana
anakutii unamtii kwa hiyo ...............malizia sasa

daah,man kwani phone yangu inanizingua yaan nikicomment halafu nikibonye back post inajiandika kama vile mimi ndiyo nimeituma sorry kwan imetokea kwenye post yako