nanjilinji
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 1,206
- 566
Pole naona yamekukuta, jipe moyo na samehe tuUmewahi kukuta SMS ya mapenzi kwenye simu ya mpenzi wako akimtumia mtu mwingine tofauti na wewe? Ulijisikiaje uliposikia mtu mwingine akiitwa majina mazuri ya kimapenzi na mpenzi wako, pengine kuliko hata yale ambayo huyatumia kwako? Ulichukua uamuzi gani? Nakukaribisheni kwa moyo mkunjufu kabisa, karibuni
Thanks Tina, dunia hii inamiss watu kama wewe, katika mapenzi jua ni upepo unapita ila timiza wajibu wako. Umekomaa mamaMi sinaga mpango wa kuchek msg za mpenzi wangu,,, afu hayo majina me huwa hayanishtui.......
Na hata nikiona kwa bahati mbaya simuulizi na play part yangu kuhakikisha me ndo no 1.
Pole naona yamekukuta, jipe moyo na samehe tu
mi nilikuta anamwambia aache kumfatilia maana ana mtu wake (ambae ni mimi). teheee!
Thanks Tina, dunia hii inamiss watu kama wewe, katika mapenzi jua ni upepo unapita ila timiza wajibu wako. Umekomaa mama
Hiyo ndo solution, mambo ya kuangalia msg za mtu, ah! Hata aiache hapo siku nzima, siigusi.. ya nini kuleta maradhi ya moyo!
Mi sinaga mpango wa kuchek msg za mpenzi wangu,,, afu hayo majina me huwa hayanishtui.......
Na hata nikiona kwa bahati mbaya simuulizi na play part yangu kuhakikisha me ndo no 1.
Nimeshawahi kuona!!Nilichukiwa vibaya mno...tena ndo kwanza ilikuwa mwanzoni mwa uhusiano....But Love is Blind!!!!
labda wanataniana tu na huyo mtu mwingine...hahahahaahahaha
Haijawahi nitokezea....hasbiallah..
Shukuru Mungu ila Usiombe ni hatariii
Mi sinaga mpango wa kuchek msg za mpenzi wangu,,, afu hayo majina me huwa hayanishtui.......
Na hata nikiona kwa bahati mbaya simuulizi na play part yangu kuhakikisha me ndo no 1.
Umeona eenh!!!!!!
mi nilikuta anamwambia aache kumfatilia maana ana mtu wake (ambae ni mimi). teheee!
Ujue haya mambo wala usipende kuumiza kichwa. Mi zamani nilikuwa na kiherehere sana cha kuangalia simu ya mpen, ila nikaona kwa nini mapigo yangu ya moyo yaniende kasi kisa kila siku kwa sababu ya binaadam mwenzangu? Nikaamua kuacha kushika simu yake na yangu nikaitia password na kwa sasa yeye ndo anaumia na kuniomba simu yangu anashindwa.
Comments za watu humu zinaonyesha kama mtu ni mkomavu katika mapenzi utamwona kila mara anajaribu kushauri mshikamano. Wanafunzi wa mapenzi nao utawajua kwa kukatisha tamaa wenzao. Magumegume utawajua kwa roho ya naye akose ili tufanane n.k. Nakwambia dunia hii hakuna wakamilifu ni to play your part first wakati ukijitahidi na mwezi wako ajifunze kutoka kwako. Life goes on lakini ukifuata mawazo ya mashosti ambao wameachika au wanajidai kuwa hawataki kuolewa kumbe ni kukosa wanaume utaumia. MerciNashukuru kwa kuliona hilo.....
Comments za watu humu zinaonyesha kama mtu ni mkomavu katika mapenzi utamwona kila mara anajaribu kushauri mshikamano. Wanafunzi wa mapenzi nao utawajua kwa kukatisha tamaa wenzao. Magumegume utawajua kwa roho ya naye akose ili tufanane n.k. Nakwambia dunia hii hakuna wakamilifu ni to play your part first wakati ukijitahidi na mwezi wako ajifunze kutoka kwako. Life goes on lakini ukifuata mawazo ya mashosti ambao wameachika au wanajidai kuwa hawataki kuolewa kumbe ni kukosa wanaume utaumia. Merci
nitajisemea mwenyewe ni utani tu sio kweli
yaani kuna vitu unaona ni vidogo kwa mpenzi ila mwenzangu ukiona alert tu shtuka1 i was there too! mtu anafanya hivi unaona hapana he is mine this means nothing! weeee mmmh !Nimeshawahi kuona!!Nilichukiwa vibaya mno...tena ndo kwanza ilikuwa mwanzoni mwa uhusiano....But Love is Blind!!!!
Nimeshawahi kuona!!Nilichukiwa vibaya mno...tena ndo kwanza ilikuwa mwanzoni mwa uhusiano....But Love is Blind!!!!