Hebu itafakari picha hii...!!!!

chezea kitumbua weye, hata range rover vogue utalitoa tu he heee
 
Mh kwa kiuno hichi bado sijamsifu jamaa.naye pia amekizingatia kama mimi.
 
Mapenz ya kweli hayajalishi maumbile, sura,umbo etc. True love is chemistry
 
kwa sababu Wastara ana ulemavu wa mguu mmoja na huolewa mara kwa mara na katuni ni sanaa
Daah ... haya bana, but sijapenda kila utakapoona ulemavu wa mguu basi ni Wastara, sio sahihi kabisa... hakupenda kuwa mlemavu wa mguu ili awe kielelezo cha waliokatika miguu ... hata katuni!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…