Hebu hukumu kesi hii...

Hebu hukumu kesi hii...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
5,100
Reaction score
1,955
Mshitakiwa kafikishwa mahakamani akishtakiwa kushikwa ugoni.

Hakimu: Mshitakiwa, ni kweli ulilala na mwanamke huyu usiku wa jumatano tarehe 12 July?

Mshitakiwa: Hata lepe sikupata mheshimiwa!

Nipeni hukumu zenu mkiniambia basis ya hukumu zenu!
 
Unaweza kulala hata wiki nzima ucpate ucngizi na unaweza kusinzia bila ya kulala,walopita jeshini wanajua hili,,.!
 
Back
Top Bottom