Hebu chunguza hii picha kwa makini

Kwamba picha zote hizo ni za mtu mmoja ila anajiweka ktk mtazamo wa jinsia ya kiume au kike! Sijui kama nipo sahihi. Halafu yupo group la wafanyabiashara wanawake!
 
Itakua wameweka picha za waume zao. Lakini pia neno entrepreneurs wamelikosea
 
Lakin hata hivo najaribu kutizama sura za hii couple 2 naona kama sura ni zilezile kasoro rangi tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…