Hebu cheki hii mbinu mpya

sasa wanafunzi wakose kufaulu wakati wanajua mbinu zote za kufaulu zapatikana wapi?
 
Ameacha kutumia Calculator na Internet kwenye hizo simu hapo mezani eti irizi itamsaidia. Kama sio upunguani ni nini? Lingekua dogo langu ningelitandika kwa sababu ya uchanguzi mbovu wa pembejeo!
 
hapo hata msimamizi hawez kukusogelea ovyo ovyo..we ni kuzungusha jicho nyuz 360,kutafta majibu!
 
Ameacha kutumia Calculator na Internet kwenye hizo simu hapo mezani eti irizi itamsaidia. Kama sio upunguani ni nini? Lingekua dogo langu ningelitandika kwa sababu ya uchanguzi mbovu wa pembejeo!
mkuu lexAid angekuwa mdogo wako ungekuwa ndo mchezo wenu.
 
Ameacha kutumia Calculator na Internet kwenye hizo simu hapo mezani eti irizi itamsaidia. Kama sio upunguani ni nini? Lingekua dogo langu ningelitandika kwa sababu ya uchanguzi mbovu wa pembejeo!

lazima afeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…