Chizi Msomi
Senior Member
- Jun 23, 2026
- 129
- 219
Chizi MsomiKWELI WW CHIZI
Hii ni simu mpya ya Samsung ausamsung 1M usiphos
NIMETOA TU MFANO MKUUHii ni simu mpya ya Samsung au
Nishakupata mkuuNIMETOA TU MFANO MKUU
Saf comment bora ya mwakaNi ushamba na umaskini tu ndo unawasumbua watu, cha muhimu ni kwamba salio lako Benki liko vizuri na Una assets imara kweli pamoja cashflow inayoeleweka, mengine ya simu sijui nini ni mbwembwe ambazo hazihitaji kelele... Kama kweli unatumia simu za bei chee na pesa wala Mali Huna basi unaweza kujihisi unyonge kweli lakini iwe chachu ya ww kupambana, puuza Tu maana watz tunapenda attention & validation.
Umenena kiutu uzima.Halafu sijui kwanini watu masikini wanapenda sana simu za gharama kubwa!
Unakuta mdada amebomolewa kinyeo mpaka anavuja mbolea nyuma kisa tu amiliki MACHO MATATU.
Jamani, mtapasuliwa utumbo mpana, jitahidini sana kuuza hata matunda na mbogamboga.
Sisi mabosi hata tukitumia MOTOROLA BAPA hatuna wasiwasi.
Shida hawa MAKAJAMBA NANI anaweza kuuza hata figo ili apate IPHONE, matokeo yake wanafumuliwa haswa vinyeo vyao kwa mkopo wanaishia kupewa IPHONE zilizochoka.
Cc: Lamomy Mbaga Jr secretarybird Poor Brain