Kama ni kweli ukabila ukaota mizizi bongo, halafu wachagga wakafukuzwa kutoka mikoa mingine, sijui kama Kilimanjaro patakalika, itabidi mikoa mingine ivamiwe, so therefore God forbid tribalism conflicts.
BTW Moshi ni mji wa kupigiwa mfano, hilo wapewe credit.