Heater za joto kwa vifaranga

Heater za joto kwa vifaranga

Joined
Dec 11, 2021
Posts
37
Reaction score
31
HEATER ZA JOTO KWAJILI YA KULEA VIFARANGA

Ni kawaida yetu kila jumapili kutoa OFAA Mbali mbali kwa wateja wetu juu ya Bidhaa zetu lengo ni kukuza tasnia ya ufugaji Tanzania

Na jumapili ya leo tunatoa OFAAA ya HEATER za joto kwajili ya kulea vifaranga wako

SIFA ZA HEATER ZETU

Ni heater zinazo toa joto la kutoshea kwa vifaranga
Ni imara na ngum kuungua
Zinatumia umeme wa kawaida na kidogo Sana
zinafungwa kwenyee Holda ya kawaida
Hazi hitaji umeme mwingi ili ziweze kufanya Kazi

Kuna faida kem kem ukitumia Heater zetu kwa kulelea vifaranga wako kwani ni uhakika 100%

Kwa shilingi 25000/=TU na Holda yake

0744344949/0658344949 DSM LILIAN KIBO

MIKOANI TUNATUMA PIA

JEFF AGRICULTURE FARM NI UKOMBOZI WA FIKRA KWA WAFUGAJII
download%20(4).jpg
 
Hizi heater Zina uwezo wa kuhudumi vifarenga wangap kw kila heater moja?
 
Back
Top Bottom