Kwa miaka hii ulaya imekuwa ikikabiliwa na mioto ya misitu inayotokana na ukali wa jua kitu ambacho Afrika hakitokei. Juzi baadhi ya sehemu joto lilifika zaidi ya 38°c, kiwango ambacho Tanzania hatukifikii, hata hivyo wao ndio waharibifu zaidi wa mazingira.