Heartbroken No More!

Heartbroken No More!

Kumlilia X binafsi naona ni sawa kwasababu ya upendo,lakini kusema umemove on huku umeblock huyo X na marafiki zake inafikirisha kidogo
Too much of everythn is harmful ...upendo wenye kuleta madhara kwangu hapana.
Kumlilia ile ya kushindwa kula na kufanya mambo mengine ya msingi kama ya mleta mada aliyoyataja ndio nashindwa kuwaelewa.
 
Too much of everythn is harmful ...upendo wenye kuleta madhara kwangu hapana.
Kumlilia ile ya kushindwa kula na kufanya mambo mengine ya msingi kama ya mleta mada aliyoyataja ndio nashindwa kuwaelewa.

Hahahah kulia na kushindwa kula,kushindwa kusoma ishanikuta

Ni kawaida kwa wengi wetu...halafu ubaya wa kupenda sio kwamba unajipangia umpende mtu kidogo ama sana,huwa inatokea unajikuta umependa mtu sanaaaaa kiasi kwamba unaona bila yeye huwezi

Shukuru sana na ombea isikukute
 
Mi nikiona mwanaume simuelewi namtafutia mwenzie ule upendo naugawa katikati ili siku akitaka kuondoka aende tu kwa amani labda hela zake ndo zitaniuma kuzikosa
 
Mi nikiona mwanaume simuelewi namtafutia mwenzie ule upendo naugawa katikati ili siku akitaka kuondoka aende tu kwa amani labda hela zake ndo zitaniuma kuzikosa

😀😀😀we huwa unafuata pesa zao, kwahy huyu akienda mwingine anabaki kuhudumia hahaa
 
Hahahah kulia na kushindwa kula,kushindwa kusoma ishanikuta

Ni kawaida kwa wengi wetu...halafu ubaya wa kupenda sio kwamba unajipangia umpende mtu kidogo ama sana,huwa inatokea unajikuta umependa mtu sanaaaaa kiasi kwamba unaona bila yeye huwezi

Shukuru sana na ombea isikukute
Naomba M/mungu aendelee kunipa nguvu ya kuhimili mikikimikiki ya mahusiano ya mapenzi
 
Jipende jithamini jikubali. Jione unastahili kilichobora na utakipata.
Screenshot_20200203-125123_1581245601567.jpeg
Screenshot_20191228-152855_1581245775305.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somehow you may be right lkn u don't know me personally. Uliona nyuzi yangu ya heart broken? Trust me nikikwambia i have moved on. sawa moving on is not a destination it's a journey. Hapa nilipofikia I'm proud of myself. I used to cry everyday , i used to take antidepressants just to sleep,nikimpigia simu asipo pokea nachanganyikiwa; i used to show up kwake ili nimuone tu. Nimefanya mengi ya kijinga.

I still think about him yes coz you dnt forget a person in one day. Lakini I don't do the silly things i used to. Appetite imerudi. I can listen to our old songs n not cry. Hapa nilipo kama ni ugonjwa basi najaribia kua discharged

So my sister you have no right to say I haven't moved on. You don't know me like that!
[/QUOTEMapenzi yanatake over 75% ya life prefernce ya human being na very emotional. Nikupongeze sana kwa kuonyesha upendo wa kiwango cha enzi za Adamu na Hawa kwa mtu ambaye probably hukuwa type yake. Au hakuwa commited, au hakuwa mkomavu au hakuwa na malengo yyte (play boy) tu. It pains a lot. Again ni vyema kama hiyo hali ya mfadhaiko na psychological toucher I me pita tayari. Give yourself more more time before you engage again. I hope you will have more better relationship than ever hapo baadae. Wengi tunayapitia haya but for a woman aliyependa inawaathiri zaidi than men. Pole sana.
 
Back
Top Bottom