SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,410
kwa kesi hii, it's a win win situation. Mwisho wa siku every one is happy!
kwa kesi hii, it's a win win situation. Mwisho wa siku every one is happy!
Yàan ishapita hiyo, we mwenyewe huoni anasema anasikia jamaa anachakata kiwanda kingine cha K😅😅😅 kwamba atulie asahau mikunjo ya baharia sio????
Kwambo roho inamuuma, amemiss kuchakatwa, i see 😅Yàan ishapita hiyo, we mwenyewe huoni anasema anasikia jamaa anachakata kiwanda kingine cha K
Roho bado inamuuma
Somehow you may be right lkn u don't know me personally. Uliona nyuzi yangu ya heart broken? Trust me nikikwambia i have moved on. sawa moving on is not a destination it's a journey. Hapa nilipofikia I'm proud of myself. I used to cry everyday , i used to take antidepressants just to sleep,nikimpigia simu asipo pokea nachanganyikiwa; i used to show up kwake ili nimuone tu. Nimefanya mengi ya kijinga.
I still think about him yes coz you dnt forget a person in one day. Lakini I don't do the silly things i used to. Appetite imerudi. I can listen to our old songs n not cry. Hapa nilipo kama ni ugonjwa basi najaribia kua discharged
So my sister you have no right to say I haven't moved on. You don't know me like that!

Zimepanda Bei sanaa tenga imefika laki tano mzee babaValentine day utaletewa tenga la nyanya
Nikumbushe nikuletee zawadi ya tenga la nyanya n vitunguuAmini nakwambia mpk sasa bado huja move on kama unavyojidanganya. Hebu tulia usahau mikunjo ya baharia
Yaan kumblock yeye na rafiki zake huo ni udhaifu mkubwa sana umeonyesha halafu wenzio wanakuchora tuu
Eti leo unaongea nao kesho unatembeza block
Ma valentine wapo kibao wala huwezi kula kinyonge labda uwe hujui maana ya upendo
Ndio maana mimi nataka kuwazawadia warembo wa humu
Amini nakwambia mpk sasa bado huja move on kama unavyojidanganya. Hebu tulia usahau mikunjo ya baharia
Yaan kumblock yeye na rafiki zake huo ni udhaifu mkubwa sana umeonyesha halafu wenzio wanakuchora tuu
Eti leo unaongea nao kesho unatembeza block 😂😂😂
Ma valentine wapo kibao wala huwezi kula kinyonge labda uwe hujui maana ya upendo
Eti TBT 😂😂😂aaaah hii ndo ilikua #tbt
![]()
Boyfriend wangu ni mchafu sana
Najua mtanitukana na kunisema eti ni kazi ya mwanamke kumuweka mwanaume sawa lakini hapa nimenyanyua mikono, isiwe kesi bora tuachane tu. Nimekua katika haya mahusiano mwezi wa 8 sasa, mwanzoni nilikua sijamuelewa sana huyu jamaa na tabia yake lakini yamenifika kooni. I'm not the cleanest...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kipindi tulichokua nacho nyanya bidhaa adimu sana , hivyo niambie lini nikukumbushe heheee😀😀Nikumbushe nikuletee zawadi ya tenga la nyanya n vitunguu
Siku yetu ya tunaopendanaKwa kipindi tulichokua nacho nyanya bidhaa adimu sana , hivyo niambie lini nikukumbushe heheee![]()
Alivyoandika kuhusu block tu nikaona bado X yupo moyoni na akilini kwake
Kwa raha zetuSiku yetu ya tunaopendana
Sijui wanakwama wapi, kutwa kumlilia X