Mambo zenu wakubwa shikamoo!
Kama mnakumbuka takribani miezi miwili mitatu nilikuja hapa na thread ya kulia lia sijui heartbroken sijui nini mambo kibao yaani. Aliesema time heals all wounds namtafuta nimnunulie hata peremende asee maana alikuwa very right.
Yaani mimi Magnum hata sikumbuki nilikuwa nalia nini. Inshort nimeshasogea mbele (move on) jamaa hanishtui tena. Appetite ya kuongea nae imekata. Kile kiherehere cha kumtafuta kimeisha. Yaani namshukuru Mungu si haba moyo wangu now upo mukide!
Nahisi nimekuwa mtu mpya kabisa
Kuna siku nilimpigia simu mshkaji tukaongea sana (closure) nilipomaliza nikaamua nimblock kabisa kwasababu ilikuwa nikiamua kuwa mute yeye ndo kama anawashwa, nikirudi ana mute tena. Nikaona huu upuuzi wa kiwango cha Mwamposa. Block yeye na marafiki zake wote.
Anyhow namtakia kila la kheri huko alipo, navyomjua now anachakata papuchi ya manzi mwingine. hawezi kukosa na alivyo romantic anahisi amepata hajui what's in store for her.
Valentine's inakuja sina valentine ila sio mbaya hata AIDS day sikuwa na AIDS. Maisha yanasonga.