Heart Attack maana yake ni nini

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438



Tunaelewa kuwa moyo kazi yake ni ku pump damu safi kwenda sehemu zote za mwili na kupokea damu chafu na juu pump iende kwenye mapafu.

Moyo unaweza supply yake ya damu, mirija yake inaitwa coronary arteries na coronary vains.

Kwa wale wenye mafuta ya ziada mwilini na wabeba vi fridge, kuna hatari ya morons hii kuzibwa na mafuta. Moyo ukikosa supply ya damu ndiyo inaitwa hear attack. Heart attack inaweza kusababishwa na kupasuka kwa mirija hiii kutokana na hypertension.
 
Ukipta heart attack kinatokea nini ?
Nini kifanyike ?
 
Ukipta heart attack kinatokea nini ?
Nini kifanyike ?
Kama kuna mwenye train ya first aid afanye resuscitation

Kama mgonjwa anaweza kumeza apewe Asprin haraka

Kuwahi hospitali
 
Dalili za heart attack ni zp? mambo gan hupelekea MTU kupata heart attack?
 
Kama kuna mwenye train ya first aid afanye resuscitation

Kama mgonjwa anaweza kumeza apewe Asprin haraka

Kuwahi hospitali
Kuna hatari ya kumeza Asprin kama mirija imepasuka Sky Eclat..
 
Ingia kwenye hii website itakusaidia kidogo juu ya heart attack na general cardiovascular diseases
 
ASANTE KWA SOMO MUJAARABU
 
Huyu mzee atakuwa shabiki wa MANCHESTER UNITED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…