Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,141
Mkuu bluetooth ina uhusiano na nini kuhusu mambo ya Afya? Naona umekosea kujibu jaribu nenda kule kwenye jukwaa hiliVipi kuhusu Bluetooth?
Do not drink coffee TWICEa day. nina maana hutakiwi kunywa kahawa ya aina yoyote mara 2 kwa siku moja iwe ya kikombe au yoyote ile ili mradi kahawa unywe mara moja kwa siku ni vizuri.Thanks Mkuu, but hapo kwy coffee kidogo haijatulia, do u mean cups or what? Again, do u mean one after another or if u take in the morng, then dnt take again on that day? mia
Mkuu bluetooth ina uhusiano na nini kuhusu mambo ya Afya? Naona umekosea kujibu jaribu nenda kule kwenye jukwaa hili
Tech, Gadgets & Science Forum nakuona kama umekosea njia mkuu.....