hii course ilikuwa nzuri sana kusoma kipindi Obama ni rais, ila kwa kipindi hiki cha trump haitalipa sana.
maana target market huwa mashirika ya kimataifa, hapa hapa haitakulipa sana. sasa ndo hivo tena sera za Trump hazitoi sana pesa kwenda nje ya marekani so tutegemee kupingua umaarufu wa mashirika yale kutokuwa na hela kama zamani.
vinginevyo UDSM wanatoa masters ya hii course, kunakuwa na nafasi za md graduates na graduates wa mambo ya IT. kazi kwako