Healing is a process sio tukio la siku moja

Haunywi sumu! Unahakikisha aliyekuumiza anapata alichokotaka. In every action there's equal and opposite reaction.
Huwezi kumkomoa if they dont even care about you. Lazima ifikie mahali ukubali , to hell with him/her. Jikung’ute vumbi

ishi maisha yako and one day siku miaka itasonga , you will get somewhere hutokumbuka. Or you will look back and understand why mitihani kama ile inatokea
 
Haijalishi ni muda gani umepita??
Ubongo unatunza kumbukumbu daima. Hasa kumbukumbu za uovu na matukio mabaya.

Yani hata muda gani upite, husahau.

Hata wewe kuna matukio ambayo ni yakushtusha na kushangaza sana au kuumiza sana uliyapitia. Huwezi kuyasahau kamwe.
 
Physically hakuna tena madhara.

Mentally kuna madhara ya daima na tahadhari kali dhidi ya tukio hilo au mtu huyo.

Yani ukikumbuka tu, Ubongo unarudisha kumbukumbu ile hapohapo.
Yes kama ni jambo lilokuumiza vilivyo
Ukiona tukio mfanano na lile lazima uumie
Mf: ulifiwa na mtoto au mzazi ukienda pahala pa msiba ukiona vile kuna maumivu yatarudi kwa mda ule
Ndio maana hata msibani sio kila anaelia ana mlilia marehemu mengine ni makovu yake ya zamani
 
Yes kama ni jambo lilokuumiza vilivyo
Ukiona tukio mfanano na lile lazima uumie
Mf: ulifiwa na mtoto au mzazi ukienda pahala pa msiba ukiona vile kuna maumivu yatarudi kwa mda ule
Ndio maana hata msibani sio kila anaelia ana mlilia marehemu ni nyingine na makovu yake ya zamani
Kabisa.
 
Maagano ambayo yanaweza kututesa sana ijapo tunayafanya kila siku katika maisha yetu na tunaona ni poa (TUNAPASWA KUYAACHA HARAKA)

1. Kupgana denda (wet kiss romance), mnabadilishna mate, kile ni kiapo kibaya sana, hata mkiachana kimwili roho zenu huwa na mawasiliano katika "giza", na hapa ndoa mwanzo wa ndoa mpya kuharibika

2. kuchanjiana damu
-damu haifi, hunena, husafiri kwa kasi katika ulimwengu huu.
-makubaliano au maagano yoyote ya damu ni agano baya sana, ukiachana na mwenzako utakuwa katika maumivu makali yasiyopona

3. kubikiri mwanamke/binti na kumuacha nako huhangaisha sana pindi unapokutana na aliyebikriwa kwingne na hakuheshimu. maumivu ya kuachana na bikra wako wa kwanza lazma yakutese

4. kuzaa na kumuacha mliye zaa naye, hata angekuwa mbaya kama shetani, maumivu yake ni vigumu kuisha katika mtima wko. kumbuka ulibeba au alikupa damu yake.

KUEPUKA MAUMIVU. TUEPUKA MAAGANO AMBAYO HATUWEZI KUYATUNZA.
 
Mkuu kuhusu denda unaweza kuacha nakuomba sana 🙏🙏🙏
 
Sawa
 
Huwezi kumkomoa if they dont even care about you. Lazima ifikie mahali ukubali , to hell with him/her. Jikung’ute vumbi

ishi maisha yako and one day siku miaka itasonga , you will get somewhere hutokumbuka. Or you will look back and understand why mitihani kama ile inatokea
Trust me itakutafuna for the rest of your life. Mwili hausahau, unaweza kujiambia nime move on, but emotional memory never goes away. Huwa tunajifanya tu. I once believed on that, but we love with pain and pretend to be fine.

Unatakiwa kuresolve hio issue, inaweza isiwe Kwa kumpiga au kumtukana mtu ila kumfanaya ajutie tu. Utapata both physical and psychological relief
 
Maagano ambayo yanaweza kututesa sana ijapo tunayafanya kila siku katika maisha yetu na tunaona ni poa (TUNAPASWA KUYAACHA HARAKA)

1. Kupgana denda (wet kiss romance), mnabadilishna mate, kile ni kiapo kibaya sana, hata mkiachana kimwili roho zenu huwa na mawasiliano katika "giza", na hapa ndoa mwanzo wa ndoa mpya kuharibika

2. kuchanjiana damu
-damu haifi, hunena, husafiri kwa kasi katika ulimwengu huu.
-makubaliano au maagano yoyote ya damu ni agano baya sana, ukiachana na mwenzako utakuwa katika maumivu makali yasiyopona

3. kubikiri mwanamke/binti na kumuacha nako huhangaisha sana pindi unapokutana na aliyebikriwa kwingne na hakuheshimu. maumivu ya kuachana na bikra wako wa kwanza lazma yakutese

4. kuzaa na kumuacha mliye zaa naye, hata angekuwa mbaya kama shetani, maumivu yake ni vigumu kuisha katika mtima wko. kumbuka ulibeba au alikupa damu yake.

KUEPUKA MAUMIVU. TUEPUKA MAAGANO AMBAYO HATUWEZI KUYATUNZA.
Can you prove it!?
 
Back
Top Bottom