nilipokuwa nasoma zamani shule ya msingi mkoani Tanga, tulikuwa na mwl mkuu muoga sana. Alikuwa mwanaume , mweupe tena very handsome. Siku 1 usiku alikuwa anaoga, mabafu ya kule yametengenezwa nje ya nyumba kwa makuti ya minazi kuzungushia na juu hayajafunikwa. Tukaja wanafunzi wawili tukamrushia kopo tupu la mafuta ya Kimbo, teacher alitoka nduki uchi hadi mlango wa nyumba aliupigiza hadi ndani, cc tulikimbia huku tunacheka, wee bac tu, looh