Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
Stop wasting your time you stupid people.
Hivi mbona jina atoto linataka kufanana na utoto?au ni macho yangu?Utoto rahaa
Ndiyo,bado nakupenda!Kwani bado unampenda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asanteNdiyo,bado nakupenda!
Chura ipo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asante
Ya kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chura ipo?
Sio kwamba uisome aone ile blue tick kisha ukae kimya? Btw inaonekana unampenda sana.Huyu X wangu naona ana ni enjoy. Mimi simtafutagi mara nyingi ananitafuta yeye akituma text mimi na reply ila nikimtumia text anapuuza anajibu kwa kujisikia. Ni whatsApp mtu si unamwona tu online, sasa hivi nimepanga akinitumia tena text siifungui nai click nadelete najua hafikishi wiki atatuma tu text na mimi nataka kumuoneshea kwani.
😃😃😃😃Mapenzi yanakutesa sana mdogo angu soma kwanza hayo memngine baadae
Kwa elimu na mtazamo wa kisaikolojia na mahusiano unaweza kuja pm kwa msaada zaidi