He is dangerously stupid

Tena mwambie wakili msomi kuwa watu kama kina makwaia ndy wasomi wa kwanza tz kwenye upande wa IT ndomana waliwekwa hpo BOT

ova
 
Nonsense hujui English
 
Nakisia asilimia 70 ya chuki dhidi ya Pombe, inatokana na "Mambo" zero brain Bashite.
 
Chuki imefika mahali pake. Nani atawatuliza watanzania. Chuki nikali sana mpaka mwenye jumba ataisikia na mbaya zaid amegusa wazee wakibarakashi mh na hilo ndio jiji Lao. Mm na sign out
 
Nyani Ngabu what do you expect from an imbecile who is an accomplished forger of certificates?
g
 
Ninachokukubali Nyani Ngabu wewe sio mnafki kwenye mabaya unakemea lakini pia hali kadhalika mazuri unasifia nadhani hii itazidi kukujengea heshima yako humu kama mkongwe nadhani hii ni kwakuwa umeshajifunza ustaarabu wa ughaibubi..lakini bwana nanihii nusu akengeuke kwa kutoa sifa tuh naona siku hizi kaacha
 
dangerously stupid??? Daaah makonda sijui anakwama wapi aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…