He is dangerously stupid

The governor is utilizing his cumbersoning pinerability rocklised mind forgetting his name given by bishop Gwajima zero brain indeed zero brain though naming himself as lovely son
 
Makonda kama anapenda sana kuwa mlinzi wa Rais si apewe kazi hiyo ili awe anasimama pembeni ya Rais kila mahala?
Hakika mashaka yanazidi kuwa makubwa, kwa nini anabebwa hivi hata kama kajisaidia na anachafua mbeleko ya mbebaji? Kunani kukubali mbeleko ichafuke na kumchafua mbebaji?
Hii ndiyo ile inaitwa SIRI SIRINI
 
Nyani Ngabu,
In that case , shows even the authority which appointed the lunatic is the same
as lunatic
 
Ujinga ni hatari sana kuliko hata sumu yenyewe kwa sababu ukiwa mjinga huwezi kujua hiki ni hatari au hiki kinafaa au hakifai.
 
Yatapita tu!..huu ndio muda wake muacheni autumie apendavyo.
 

Tell you something; it is precisely because of his dangerous stupidity and dare devil and erratic behaviour that he is where is. And he is not alone; just look around and you will find far more outragious and primitive characters. With our kind of politics clueless hoodlums are increasingly becoming indispensable.
 
Reactions: Qwy
Unajua Magufuli kashadokeza mara nyingi tu sasa kuwa anaamini mambo ya uchawi.

Kwa hiyo usemacho si ajabu hakiko mbali sana na ukweli.
Lakini kanisani anakaa bench la mbele kabisa... na kutusihi tumtangulize Mungu kwenye kila jambo. Na kabla ya hapo anakuwa kashapokea "mwili na damu" ya mwokozi kwa unyenyekevu uliotukuka
 
Ngoja Lemutuz aone huu uzi aje kumtetea Crown Prince
 
Yaani anajifanya anamlinda Rais kama katoto kachanga, watu wengine wanamtania Rais ili kuonyesha upendo wao kwa Rais, yeye kila kitu anatafsiri kibabe

Naam. Na hii picha ilijitokeza mapema sana tu. Mfumo mzima wa utawala wa awamu ya tano umejikita katika nguzo moja kubwa: kumhami, kumtetea na kumlinda Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…