He is a Good men

Mai dia frendiz didnt you know zat english iz ze language of love? She loves the men, lovin't her??

I loven't you bicoz you are loughing at she while you know inglish is not she mother tongue.

I am finished my post of today on thread.

Senk yuu!
 
Eti katoa na plural .. .....mens.....kama ni hivyo kizungu kimenipita pembeni
 
 
Motherland aah!?
Duh! mlivyoishikilia bango hii motherland!! Nilifikiri wengi wanajua source ya hilo neno maana limetoka kwenye barua moja ya maombi ya kazi ambayo imezunguka sana mitandaoni. Basi kwa uelewa zaidi tafuta hii makala: F.E.M.K Senkoro (2008). "English is not motherland": Anecdotal Discussions and Views on the language Question in Tanzania in Qorro, M......LOITASA: Reflecting on Phase I and Entering Phase II. Page 161-190. Labda pia unaweza kuelewa ni kwa nini sishabikii kumsuta mtu kutokana na makosa ya kisarufi badala ya kuchangia mada yake wakati wazo lake limeeleweka. hata wazungu wa London kwenyewe si wote wana umilisi wa kingereza cha malkia lakini sidhani kama wanachekana kiasi hiki.
 
There's a movie currently showing at cinemax inaitwa 'the perfect guy',u shud check it out....
Mrejesho sijui utaleta...hahah
Hongera mwaya
 
am also a good man,,wadada karibuni pm nafasi ni chache
 


Sasa unajua wengi hatukuwa tunajua source yako,na tulikuwa sawa kushangaa hio lugha kama walioandika kwenye makala.
 

Si ungeandika Kiswahili tu. Lugha kama hauijui vizuri si vyema kujiaibisha mbele ya halaiki na wala si uhodari kuongea lugha usiyoielewa vizuri.

Faidika na darsa la FaizaFoxy:

Ni "a man" haiwezi kuwa " a men", "men" ni uwingi (plural) ya man. Na herufi "a" inaashiria ni mmoja.

Hapa umeandika utafikiri baniani anaejifunza Kiswahili anaesema "mwanamme wote" wakati usahihi ni "wanaume wote".
 
Hongera vkeisy2006 kwa kumpata anayekupenda,kukujali na kukuthamini.Mkabidhini Mungu uhusiano wenu ili mzidi kudumu zaidi na zaidi.

Aaah hilo suala la kiingereza wala lisikutishe..hao wanaotema ung'eng'e walianza hvyohvyo japo wanajifanya kutoa vikejeli.Zingatia marekebisho yao tena uendelee kuleta thread nyingi kwa kiingereza ili ujue zaidi na zaidi.

Yote mema.
 
Last edited by a moderator:
mwambie etumie lugha anayo kiweza zaidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…