Brainy Chick
Member
- Mar 9, 2013
- 64
- 21
Come on! You cant expect a man to do as he says! You make him Girl! Halooooooo!!!!!!! Men got no sense of humour at all!
Ukitaka mwanaume afanye au asifanye kitu just trick him! Never reason with a man in a common ground!
Mfano mimi kuna mdada alikuwa anamtongoza tongoza kwa text, sasa nikimcofront anadai it aint his fault ila ni fault za huyo mdada kujipendekeza! He is incoent. Im just imagining things! Nikasema Okaaaaay! So you are enjoyin the attention! We will see about that!
Siku anaoga nikachukua simu yake nikamtex yule dada "Demu gani wewe unajitongozesha kwangu, nimekuchoka nimekuchoka, hata hio K yako siitaki! Kusoma hujui hata picha huoni! SIKUTAKI!!!! Mwanamke gani mbaaaaya hadi naogopa utaniharibia watoto. Incase humjui demu wangu mtafute ujipime na wewe kinuka mkojo! Na hii ni last warning ole wako unitafute tena, nakuja hapo kazini kukutukana mbele ya wafanyakazi wenzio *************************!!!!!!!!!!" Nikaisend, afu nikaidelete sent items! Afu kimyaaaaaaaaa! (Dnt blame me people! I did him a favour! He had no balls to make that happen bt i did with a single text)
Toka siku hiyo sikuona text ny.oko toka kwa yule dada! Angejuaaaa! Mhhh! Kuna mtu nae mumewe alikuwa na kimada afu kimada kikapewa Cami wakati my shosti hana hata bajaji na yule kimada akaanza kuleta fyoko fyoko! Weeeeeeeee! After long bettles na mumewe na wazazi wasimamizi wa harusi zisizo zaa matunda she consulted me Kubwa la Maadui! We solved it dear just in a day!!!!!:yo:
Mekushindwa mdada,I wish I had your balls.Come on! You cant expect a man to do as he says! You make him Girl! Halooooooo!!!!!!! Men got no sense of humour at all!
Ukitaka mwanaume afanye au asifanye kitu just trick him! Never reason with a man in a common ground!
Mfano mimi kuna mdada alikuwa anamtongoza tongoza kwa text, sasa nikimcofront anadai it aint his fault ila ni fault za huyo mdada kujipendekeza! He is incoent. Im just imagining things! Nikasema Okaaaaay! So you are enjoyin the attention! We will see about that!
Siku anaoga nikachukua simu yake nikamtex yule dada "Demu gani wewe unajitongozesha kwangu, nimekuchoka nimekuchoka, hata hio K yako siitaki! Kusoma hujui hata picha huoni! SIKUTAKI!!!! Mwanamke gani mbaaaaya hadi naogopa utaniharibia watoto. Incase humjui demu wangu mtafute ujipime na wewe kinuka mkojo! Na hii ni last warning ole wako unitafute tena, nakuja hapo kazini kukutukana mbele ya wafanyakazi wenzio *************************!!!!!!!!!!" Nikaisend, afu nikaidelete sent items! Afu kimyaaaaaaaaa! (Dnt blame me people! I did him a favour! He had no balls to make that happen bt i did with a single text)
Toka siku hiyo sikuona text ny.oko toka kwa yule dada! Angejuaaaa! Mhhh! Kuna mtu nae mumewe alikuwa na kimada afu kimada kikapewa Cami wakati my shosti hana hata bajaji na yule kimada akaanza kuleta fyoko fyoko! Weeeeeeeee! After long bettles na mumewe na wazazi wasimamizi wa harusi zisizo zaa matunda she consulted me Kubwa la Maadui! We solved it dear just in a day!!!!!:yo:
Nimeshamwambia but naona mambo ni yaleyale. Akifanya yeye sio kosa,nikifanya mimi ni kosa.If we cant learn from our mistakes, we will learn from those of others!! Sioni shida ya nani ana-set grounds rules, hasa kama ni za muhimu na zina ukweli. Ninaona shida katika mmoja, hasa aliyezi-set kutozifuata na huku akisisitiza yule mwingine azifuate. Hapa ndipo hakuna fairness.
Ili ajifunze, mwambie umuhimu wa kufuata ground rules. Ikiwa hataki hilo it simply means there are no more ground rules.
Hi wenyeji!
Most of the time bf wangu ndio anaset ground rules the relationship yetu,shida ni kwamba najikuta nazifata peke yangu. Nimeshacomplain countless times but habadiliki. Mfano tunaweza kukubaliana kuwa hakuna kucommunicate na wapenzi wa zamani, lakini yeye unakuta anaendelea. Naombeni ushauri wadau.
Come on! You cant expect a man to do as he says! You make him Girl! Halooooooo!!!!!!! Men got no sense of humour at all!
Ukitaka mwanaume afanye au asifanye kitu just trick him! Never reason with a man in a common ground!
Mfano mimi kuna mdada alikuwa anamtongoza tongoza kwa text, sasa nikimcofront anadai it aint his fault ila ni fault za huyo mdada kujipendekeza! He is incoent. Im just imagining things! Nikasema Okaaaaay! So you are enjoyin the attention! We will see about that!
Siku anaoga nikachukua simu yake nikamtex yule dada "Demu gani wewe unajitongozesha kwangu, nimekuchoka nimekuchoka, hata hio K yako siitaki! Kusoma hujui hata picha huoni! SIKUTAKI!!!! Mwanamke gani mbaaaaya hadi naogopa utaniharibia watoto. Incase humjui demu wangu mtafute ujipime na wewe kinuka mkojo! Na hii ni last warning ole wako unitafute tena, nakuja hapo kazini kukutukana mbele ya wafanyakazi wenzio *************************!!!!!!!!!!" Nikaisend, afu nikaidelete sent items! Afu kimyaaaaaaaaa! (Dnt blame me people! I did him a favour! He had no balls to make that happen bt i did with a single text)
Toka siku hiyo sikuona text ny.oko toka kwa yule dada! Angejuaaaa! Mhhh! Kuna mtu nae mumewe alikuwa na kimada afu kimada kikapewa Cami wakati my shosti hana hata bajaji na yule kimada akaanza kuleta fyoko fyoko! Weeeeeeeee! After long bettles na mumewe na wazazi wasimamizi wa harusi zisizo zaa matunda she consulted me Kubwa la Maadui! We solved it dear just in a day!!!!!:yo:
Lara 1 umetisha ile mbaya,wanawake wangekuwa na uwezo wa kutatua matatizo ndani ya nyumba kama ulivyofanya basi ndoa nyingi zingekuwa salama,sasa si utumalizie hiyo stori ya kimada kupewa gari maana umeniacha natamani kujua kilichojiri.
Hahahaha,basi toa wewe advice bwana mentor!AND YOU ARE STILL SINGLE N DESPERATE!
I doubt the credibility of ur advice. :yo:
Kwann unasema hivyo?mapenzi yanatesa sana ndugu ndo maana mtu anaweza kufanya jambo lolote bila kujali impact yake ili airidhishe roho yake.AND YOU ARE STILL SINGLE N DESPERATE! I doubt the credibility of ur advice. :yo:
Ndugu yangu vitu vingine ni vya kurekebishana,utaacha wangapi??huyo bwoifrindi ulizaliwa nae?
Nimeamini kweli Lara 1 wewe ni kubwa la maaduiBi dada bwana aliolewa sasa kama ujuavyo Mumewe akapata kimada HR wa kampuni flani kubwaa tu ana Masters kama mia! Shosti wangu form 6! Basi mumewe ikawa kama kajiweka kwa huyu HR coz si unajua tena wasomi anampa idea za biashara na nini na fake class aliyonanyo HR, wanaisha kama ulaya kwenda kudine sehemu za maana, kuhangout kwenye golf na nini! Mumewe kujiona kakosea kumuoa shosti hana exposure! Mshamba! Sasa shosti had no shot at all!Mumewe harudi nyumbani, akirudi sms hafuti, ikawa sio siri tena, mara anaenda na mtoto kwa Hr anamwambia huyu mamdogo! She was so frustrated, endesha kesi za kifamilia na wewe! Mwanaume sugu! Akaja kuniambia ananijulisha tu sh is dating again ndoa imeshindikana! Ndo akaniambia! Nikamwambia njia iko mbona ya kusambaratisha hilo swala! Its not gonna be easy but its possible! Je uko tayari kwa vita!? Saivi we attack from HR'S side, we mumeo usimuulize chochoteAkajifanya aah! Mi ugomvi sipendi, wala siwezi, nikamwambia kojoa ulale! Na mumeo ataoa siku si nyingi! We si ndo umechokozwa? Mgomvi yule kule we una retaliate tu! Akasema yuko tayari kwa vita!Stage 1. Kaenda ofisini kwa yule dada na mtoto analia watu wote wanamshangaa anaomba kumuona HR Manager! Kwikwi! Vilio! Kabeba na mtoto anamfinya wanalia wote! Mbona lilikuwa Tukaio! Watu wanamjali reception mama unalia nini? Flani mtu mbaya sanaaaa! Kanichukulia mume wangu! Nateseka! Hihihihiiiiiiiiii! Mi sina kazi! Waaaaaaaaaaaaaaaaa! SI unajua umbea wa ofisini watu wanaitana kumekucha huku usipitwe! HRM akaja kumuingiza ofisini! Kilio tu! Akamwambia atamkanya yeye aende nyumbani! Yule dada alikoma watu wanakonyezana tu! Ofisi aliona chungu!Stage 2. Tukamvisia baada ya tukio akawa anakimbia soo ofisini anampigia simu mzinzi mwenzie analia akaenda kukaa resturant flani jirani amngoje aje! Tukamfata na kuanza kuanza kumchamba! Alikaa sakafuni na kuweka mikono kichwani! Tukamtishia tutammwagia maji ya moto usoni tuone nani atamtongoza! Au wahuni wambake na kumtupa kwenye mtaro. Tukamwambia programu ya kuachiwa Mume haipo ni vita tu! She should Pack Well oooooooh! Its not gonna be an easy ride! Tukamwambi ndo maisha yake ya kila siku yatakuwa hivi! Sisi hatujasoma wala Class hatuna hata ya kupakaziwa! Ni vita tu! Tukamwambia kama umeona tukio tuliokufanyia la kuja ofisini sasa ndo ujue hatutishiii ni vitendo tu! Next time tunakufata kanisani, kwenye sherehe! Maisha yako yatakuwa hivi hivi. Ndo ujiulize is it worth it!Basi kesho yule dada akatuma text, anaomba msamaha yaishe, yeye mumewe hamtaki tena! Alikomaaaa! Mumewe baada ya kuuchwa kule akaanza kujirudisha kimya kimya! Saa kumi yupo ndani! Mara amununulie mkewe gari, kujikosha tu baada ya kufanya madudu! Mpaka leo ndoa ipo! Na wameongeza mtoto mwngine!. Bila kufanya u alshabab mbona angeporwa mume! Chezeya!
AND YOU ARE STILL SINGLE N DESPERATE!