nenda kkoo ama poster kwenye maduka ya computer na vifaa vya network pia unaweza cheki kwa wale jamaa pale kkoo kwenye junction kama waelekea mnazi mmoja mie nishanunua sana vitu kwao uwaga na makolo kolo mengineyo ata dukani ayapatikani

Unaweza ukawa unataka kutoa picha kwenye laptop kwenda kwenye smart-tv lakini laptop yako ikawa haina HDMI port ina VGA pekee hivyo unatumia hizo converter. Pia kama unatoa kwenye laptop kwenda kwenye projector za kisasa ukitaka picha safi..