Unaweza kwa kununua deki yenye shimo la HDMI au ukatumia Laptop yenye hilo shimo la HDMI kwa kuanganisha waya wa HDMI,ukiunganisha kwenye TV yako weka kwenye eneo la HDMI,kwa hiyo HDMI inaenda kwa HDMI kwenye tv,picha saafi kakaHata mie kwenye TV kuna HDMI port sasa sijui hata unaconnect vp na computer au deck ebu tupeni maujanja basi...