HD ya 2.5 GB mwaka 1980

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,251
1GB.jpg

Hard disk ya IBM 3380 yenye capacity ya 2.5 GB iliyozinduliwa mwaka 1980 kwa bei ya kama $100,000 kwa hela ya leo, pembeni ni SD card ya GB 1 ambayo haizidi $10.
 
wabongo hadi leo tunasindikiza wenzetu tu,. Hatujagundua hata GOLOLI!!!
 
wabongo hadi leo tunasindikiza wenzetu tu,. Hatujagundua hata GOLOLI!!!

Tupo kwenye utafiti wa kugundua vitu vyenye ncha kali vilivyoua Morogoro na kwa kamanda Mza:focus: Nimetumia IBM pc kwa muda wa miaka mitatu, ni nzuri :poa
 
Tupo kwenye utafiti wa kugundua vitu vyenye ncha kali vilivyoua Morogoro na kwa kamanda Mza:focus: Nimetumia IBM pc kwa muda wa miaka mitatu, ni nzuri :poa

ehehehehe daaah..
n'dai like mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Back
Top Bottom