History, demography and social anthropology ya jamii havijawahi kuwa matusi.
Huijui nchi yako. 1920s Tanganyika ni vijiji vya kijima na kipori vilivyogubikwa giza, ujinga na umaskini.
Musuguri na Nyerere na kizazi chao hawakujua wamezaliwa lini. Wala wako wapi kwenye ramani ya dunia.
Tarehe za matukio ya watu wa jamii hizi kama kuzaliwa na kufa by and large is unverified guesswork.