Hayo Mambo Ya Kupekenyuana Mtakuja Mfe..

Nimemkuta rafiki yangu analia kama mtoto mdogo
chumbani kwake;

MIMI: Oya mshkaji vipi tena nani kafa?

MSHKAJI: Yaani Doreen kaniuwa, hivihivi bila kosa
kaniuwa

MIMI: Hebu tulia nambie ishu nzima
MSHKAJI: Si unajua nimekuwa namlipia Doreen ada
toka sekondari mpaka sasa yuko chuo nikijua ndio
niko peke yangu na nitamuoa?

MIMI: Ndio

MSHKAJI: Jana nikataka kuangalia kanisevu nini
kwenye simu yake
MIMI: Ok

MSHKAJI: Si kanisevu eti Mchungaji Peter 12

MIMI: Sasa tatizo liko wapi

MSHKAJI: Nilipoangalia majina mengine sinimekuta
kuna Pasta Maige, Pasta Jay wa misimo, Askof edwin,
na kuna Mchungaji Peter 1 mpaka mimi wa 12, wakati hata siku moja haendi kanisani wala maombi

MIMI: Dah endelea kulia mwanangu
Kumbe doreen kanisave askofu? Daaah! Huyu mtoto atari
 
Kila siku humu tunasema mchumba hasomeshwi naomba kuanzia sasa iwe kauli mbiu hii
MCHUMBA HASOMESHWI ENYI VIUMBE.
Wengi hawajashtuka, so acha waendelee kulizwa mpaka akili ziwakae sawa
 
Nimemkuta rafiki yangu analia kama mtoto mdogo
chumbani kwake;

MIMI: Oya mshkaji vipi tena nani kafa?

MSHKAJI: Yaani Doreen kaniuwa, hivihivi bila kosa
kaniuwa

MIMI: Hebu tulia nambie ishu nzima
MSHKAJI: Si unajua nimekuwa namlipia Doreen ada
toka sekondari mpaka sasa yuko chuo nikijua ndio
niko peke yangu na nitamuoa?

MIMI: Ndio

MSHKAJI: Jana nikataka kuangalia kanisevu nini
kwenye simu yake
MIMI: Ok

MSHKAJI: Si kanisevu eti Mchungaji Peter 12

MIMI: Sasa tatizo liko wapi

MSHKAJI: Nilipoangalia majina mengine sinimekuta
kuna Pasta Maige, Pasta Jay wa misimo, Askof edwin,
na kuna Mchungaji Peter 1 mpaka mimi wa 12, wakati hata siku moja haendi kanisani wala maombi

MIMI: Dah endelea kulia mwanangu
Ulikuwa mnamsomesha kwani we mzazi au mlezi wake? Endelea kulia wanangu
 
Back
Top Bottom