Hayati Magufuli hakuwa malaika lakini alikuwa Rais na mwana bora wa bara la Afrika

Mwana wa Africa nyumbani kwenu wewe na familia yako,mkandamiza demokrasia,muuaji,mpenda sifa, asiezingatia sheria,mtekaji,jeuri,asieshaurika huyo ndio mwana wa Africa hovyo kabisa,
 
How Late President John Magufuli Made Tanzania A Middle Income Country. He rejected a $10 billion loan from China

He didn't go on state trips outside of the African Continent

He reduced the cabinet's size from 30 to 19

He banned Government officials from foreign trips & abolished their tax exemptions.

Magufuli accused UK company, Acacia Mining of illegal mining and ordered them to pay $193 billion for undervaluing Tanzania's gold exports.

Over 250 containers of theirs were seized at Dar es Salaam port.

They paid $300 million and gave Tanzania 16% ownership in 3 mines.

Magufuli introduced free education in government schools in 2016. He acquired 6 Air Tanzania planes, expanded Terminal III of Julius Nyerere International Airport.

He built Tanzania Standard Gauge Railway, Mfugale Flyover, Julius Nyerere Hydropower Station, Ubungo Interchange.

Dr. Magufuli built Selander Bridge, Kigongo-Busisi Bridge, Huduma Bora Za afya, Vituo Bora Za Afya, expanded Port of Dar es Salaam, Dodoma Bus Terminal, an LNG plant, a water project, a wind farm project, Uhuru Hospital project, a gold refinery plant, and Magufuli Bus Terminal.

Late President Dr. John Magufuli excelled in infrastructure and financial affairs. He faced numerous accusations of human rights abuses and was accused of repressing the opposition. He also banned explicit images or videos online.

He wasn't a saint, but was a true son of the African Continent.

what else shall be said here? he showed a direction, we need a dictator for us to excel
 
Kithamani, JK alitekeleza miradi yenye thamani kubwa sana kumzidi Magufuli.

Isitoshe, miradi mingi ambayo Magufuli alikuja kuitekeleza tayari ilikuwepo kwenye pipeline ndiyo maana kuna wajinga wachache ndani ya CCM wakati ule walitaka kumwongezea JK kipindi cha urais eti akamilishe kazi inayoendelea. Nonsense!!

Kuhamia Dodoma (ambako sasa kunaligharimu taifa pakubwa sana) na ku implement Stiegler's Gorge (mradi ambao utakuja kutugharimu sana huko mbeleni) ndiyo vitu 2 pekee ambavyo unaweza kusema Magufuli alilazimisha utekelezaji wake - japo navyo alivifanya kwa nia ya kujitafutia misifa.

Magufuli alikuwa...

Laghai (mifano ipo mingi tu)
Katili (obviously)
Mpenda kutukuzwa
Hajitambui (alikuwa anajichanganya katika kupambanua weaknesses vs strengths)
Hana heshima kwa privacies za watu
Ana pretend kuwa mcha Mungu (kama Hitler)
 
Evidence babu, evidence. Your opinion still matter but not with a premise that is intended to deceive and misinform. Tujaribu kuondokana na uwongo unaokithiri taswira ya nchi na hata wananchi wenyewe wa Tanzania.
Amani
Yani swala la ibilisi magufuli kuuwa watu nalenyewe unataka upewe ushahidi
 
Ukitaka kujua ukubwa wa Magu pita na gari Kijazi fly over Mandela to Sam Nujoma. Jinsi utavyojiskia ukiwa juu ya daraja ndio utagundua utofauti wa Magu na watawala wengine waliomtangulia. Mzee alifanya vitu vinavyogusa hisia za mtu.
 
Evidence babu, evidence. Your opinion still matter but not with a premise that is intended to deceive and misinform. Tujaribu kuondokana na uwongo unaokithiri taswira ya nchi na hata wananchi wenyewe wa Tanzania.
Amani
Nadhani atrocities alizozifanya Jiwe zinaingia kwenye kundi la judicial notice - no evidence is needed to prove them as they are indisputable
 
How Late President John Magufuli Made Tanzania A Middle Income Country. He rejected a $10 billion loan from China

He didn't go on state trips outside of the African Continent

He reduced the cabinet's size from 30 to 19

He banned Government officials from foreign trips & abolished their tax exemptions.

Magufuli accused UK company, Acacia Mining of illegal mining and ordered them to pay $193 billion for undervaluing Tanzania's gold exports.

Over 250 containers of theirs were seized at Dar es Salaam port.

They paid $300 million and gave Tanzania 16% ownership in 3 mines.

Magufuli introduced free education in government schools in 2016. He acquired 6 Air Tanzania planes, expanded Terminal III of Julius Nyerere International Airport.

He built Tanzania Standard Gauge Railway, Mfugale Flyover, Julius Nyerere Hydropower Station, Ubungo Interchange.

Dr. Magufuli built Selander Bridge, Kigongo-Busisi Bridge, Huduma Bora Za afya, Vituo Bora Za Afya, expanded Port of Dar es Salaam, Dodoma Bus Terminal, an LNG plant, a water project, a wind farm project, Uhuru Hospital project, a gold refinery plant, and Magufuli Bus Terminal.

Late President Dr. John Magufuli excelled in infrastructure and financial affairs. He faced numerous accusations of human rights abuses and was accused of repressing the opposition. He also banned explicit images or videos online.

He wasn't a saint, but was a true son of the African Continent.

Magufuli was also King of "tribalism".
 
Back
Top Bottom