Dah .... Nilimpenda sana sana Magufuli... Huyu kanisababishia niwe mfuatiliaji wa Habari sana hapa Tanzania...
Kila siku nilikuwa natamani kusikia kitu kipya...
Siku Giza lililopomkuta... Nakumbuka ... Nilikuwa nje kikazi...
Mhhhh ... Ile nafika nyumbani saa sita usiku, kwa vile nilikula huko huko , Ile naingia bafuni nikaona simu ya rafiki yangu inaita.
Akaniambia Washa TV yako ... Nikamwandikia Kuna nini,?
Si rafiki yako huyo amekufa.... What nani? Magufuli... Kaongeza....
Nilichomoka na taulo... Naona picha ya Magu na nyimbo za maombolezo... Kwangu ni kama ndoto fulani...
Nililia sana sana sana
Mhhhhhhhhh... Nilimpenda Magu... Naweza kujaza vitabu kumwelezea...(
hata mimi nakumbuka for the first time nilisikia uchungu na machozi ile siku, sijui wenzetu
Pole sana ndugu kwa kusikitika sana.Dah .... Nilimpenda sana sana Magufuli... Huyu kanisababishia niwe mfuatiliaji wa Habari sana hapa Tanzania...
Kila siku nilikuwa natamani kusikia kitu kipya...
Siku Giza lililopomkuta... Nakumbuka ... Nilikuwa nje kikazi...
Mhhhh ... Ile nafika nyumbani saa sita usiku, kwa vile nilikula huko huko , Ile naingia bafuni nikaona simu ya rafiki yangu inaita.
Akaniambia Washa TV yako ... Nikamwandikia Kuna nini,?
Si rafiki yako huyo amekufa.... What nani? Magufuli... Kaongeza....
Nilichomoka na taulo... Naona picha ya Magu na nyimbo za maombolezo... Kwangu ni kama ndoto fulani...
Nililia sana sana sana
Mhhhhhhhhh... Nilimpenda Magu... Naweza kujaza vitabu kumwelezea...(
hata mimi nakumbuka for the first time nilisikia uchungu na machozi ile siku, sijui wenzetu
Kifo ni kifo tu,kila nafsi itaonja mauti , Mwendazake bado nipo na deni naye ,huko alipo ipo siku nikifika zitapigwa ngumi za hatariDah .... Nilimpenda sana sana Magufuli... Huyu kanisababishia niwe mfuatiliaji wa Habari sana hapa Tanzania...
Kila siku nilikuwa natamani kusikia kitu kipya...
Siku Giza lililopomkuta... Nakumbuka ... Nilikuwa nje kikazi...
Mhhhh ... Ile nafika nyumbani saa sita usiku, kwa vile nilikula huko huko , Ile naingia bafuni nikaona simu ya rafiki yangu inaita.
Akaniambia Washa TV yako ... Nikamwandikia Kuna nini,?
Si rafiki yako huyo amekufa.... What nani? Magufuli... Kaongeza....
Nilichomoka na taulo... Naona picha ya Magu na nyimbo za maombolezo... Kwangu ni kama ndoto fulani...
Nililia sana sana sana
Mhhhhhhhhh... Nilimpenda Magu... Naweza kujaza vitabu kumwelezea...(
that was real elected president. Tanzania was spotlight.
hata mimi nakumbuka for the first time nilisikia uchungu na machozi ile siku, sijui wenzetu
Uko sahihi, watu wako tofauti tofauti, hata shetani angekufa Leo Kuna wengi wangelia.Una haki kabisa, hata kwenye imani kuna wanaompenda Yesu na wengine Muhamedi, so sio kosa ili maisha yaendelee lazima kuwe na balance
Mie nashukuru taarifa nilipata asubuhi, vinginevyo nisingelala. Na baada ya hiyo taarifa, nilipoteza uelekeo na nisijue la kufanya..Dah .... Nilimpenda sana sana Magufuli... Huyu kanisababishia niwe mfuatiliaji wa Habari sana hapa Tanzania...