Hayati Job Ndugai atakumbukwa kwa kukataa nchi yetu kuwa ombaomba

Maswa Yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
1,399
Reaction score
2,601
Ndugai atakumbukwa kwa bunge lake akiwa spika lilipitisha na kutenga bajeti zote za miradi mikubwa ambayo nchi tunajivunia kwa sasa.

Kama bunge la Ndugai lingekataa ujenzi wa bwawa la umeme nchi ingekuwa gizani hadi leo, ujenzi wa SGR ambayo hadi masikini sasa wanatumia masaa 3 tu kutoka Dom -Dar.

Pia Ndugai alikataa waziwazi nchi yetu kuwa ombaomba.
 
pia atakumbukwa
kwa kuwaapisha na kuwaruhusu kukaa bungeni wabunge ambao siyo wana chama wa chama chochote cha siasa ndiyo wale COVID 19
Alimkaribisha CECIL mwambe bungeni hali ya kuwa amefukuzwa na chama chake
Alimwita CAG bungeni kwenye kamati na kumuhoji kwa kauli yake kwamba bubge ni dhaifu
Aliwatoa na kuwafungia hovyo wabunge wote ambao walikuwa tofauti na mawazo yake
HUYU HAKUWA MUUMINI WA HAKI NA ASIYEJUA LOLOTE KUHUSU UTAWALA WA SHERIA
 
Sio kweli, acheni kutukuza hawa washenzi kisa eti wamekufa

Bunge lingekataa kama lini lilishakataa prndekezo lolote la serikali ama Lowe zuri ama baya? Bunge lilikuwa rubber stamp tu

Ni lini alikomaa bungeni akiwa nchi yetu imekopa sana au inategemea sana msaada?

Au ni ile kauli ya bahati mbaya kwenye kile kikao cha Wagogo kuwa nchi itapigwa mnada ambayo baadae aliifuta na kuomba msamaha?
 
Ndugai atakumbukwa kwa bunge lake akiwa spika lilipitisha na kutenga bajeti zote za miradi mikubwa ambayo nchi tunajivunia kwa sasa.

Kama bunge la Ndugai lingekataa ujenzi wa bwawa la umeme nchi ingekuwa gizani hadi leo, ujenzi wa SGR ambayo hadi masikini sasa wanatumia masaa 3 tu kutoka Dom -Dar.

Pia Ndugai alikataa waziwazi nchi yetu kuwa ombaomba.
Hakuna anayeweza kuwa mbaya kwa kila kitu, kwa hili la kukemea Nchi kukopa bila break, alikuwa Mzalendo na tumpe Maua Yake. Hata hatukumpenda kwa hili wa Tanzania wote tulimsikia na tulimuelewa, hata kama baadhi yetu hatukufurahishwa masikioni mwetu na kile alichotuambia . Historia Itamkumbuka kwa huu uzalendo wake.
 
pia atakumbukwa
kwa kuwaapisha na kuwaruhusu kukaa bungeni wabunge ambao siyo wana chama wa chama chochote cha siasa ndiyo wale COVID 19
Alimkaribisha CECIL mwambe bungeni hali ya kuwa amefukuzwa na chama chake
Alimwita CAG bungeni kwenye kamati na kumuhoji kwa kauli yake kwamba bubge ni dhaifu
Aliwatoa na kuwafungia hovyo wabunge wote ambao walikuwa tofauti na mawazo yake
HUYU HAKUWA MUUMINI WA HAKI NA ASIYEJUA LOLOTE KUHUSU UTAWALA WA SHERIA
Huu mtazamo na misimamo ilisyokuwa na tija ndo imesababisha Kifo cha Chama chenu, kila kitu mnakuwa rigid, na kwa huu uongozi mlio nao wa Lisu basi ndo Chadema kwa heri , you cant be rigid in everything when you are in Politics. You need to be flexible and respect the decissions and views of others, even if you dont agree with them. CHADEMA kwa hili limewatafuna na limetafuna chama .
 
kukataa omba omba baada ya yeye kutosheka, ndio inafanya awe na thamani?.......halafu hiyo miradi enzi zake alikuwa na ujasiri gani wa kuigomea?.....anyway wote tutakufa. apumzike vyema.
 
Huu mtazamo na misimamo ilisyokuwa na tija ndo imesababisha Kifo cha Chama chenu, kila kitu mnakuwa rigid, na kwa huu uongozi mlio nao wa Lisu basi ndo Chadema kwa heri , you cant be rigid in everything when you are in Politics. You need to be flexible and respect the decissions and views of others, even if you dont agree with them. CHADEMA kwa hili limewatafuna na limetafuna chama .
Sasa unajadili kitu kilichokufa?
 
Utakufa wewe kabla ya CHADEMA.
 
Kukataa bila KUWA na mkakati wa makusudi unaotekelezeka wa kuacha uombaomba ni kuukubali KWA kishindo
 
Ohh kumbe mnajua hatupaswi kuhangaika na vitu vilivyokwisha Kufa, hapo umenena na from now on, we dont expect to hear anything from your side on our Heroes JPM and now JBN ( RIP). Tuwaache wapumuzike kwa Amani, kumbe mnajua ila mnajitoaga fahamu na kuendelea kuhangaika na waliotutangulia. Please respect them, even if you didnt like them. Let them RIP !
 
Kukataa bila KUWA na mkakati wa makusudi unaotekelezeka wa kuacha uombaomba ni kuukubali KWA kishindo
Yeye alionesha Njia na kukemea at least, sasa wewe kabla ya kutaka wengine wachuke hatua, wewe kama mwananchi wa Nchii hii ulifanya nini kwa ngazi yako kupinga huo ufisadi wa kupitia Mikopo umiza kwa Nchi Yako. What have you done to your Country so far?
 
Back
Top Bottom