"Hayakuhusu bibie, kantangaze, MB zenyewe 8"

"Hayakuhusu bibie, kantangaze, MB zenyewe 8"

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
64,384
Reaction score
99,196
Umofia Kwenu sana JF,

Nilikuwa naangalia tangazo la QFL mygodoiro dodoma Kuna Dada flan hivi amazing kafanana na waziri mwenye jina linalofanana na hospital ya mikocheni alikuwa anamchana live mwenzake aliyekuwa anamsema kwamba amechelewa kwenye kikao coz alilalia godoro lisiloeleweka akamwambia "Hayakuhusu bibie kantangaze basi mb zenyewe nane nikudownload una nini?" Aiseee na jicho alivyokuwa analipeleka juu chini balaa.
 
Ninampenda sana dada mmoja ktk tangazo hilo., naweza tangaza nia mazima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom