Mimi kwa upande wangu, nimefurahia yaliyomkuta nape.
alihusika Sana Kwenye wizi wa jirani, kumbe walikuwa wanampa nchi mtu wasiyemjua.
Kuhangaika kote wanaishia kuwekwa pembeni na waliokuwa wanakula zao bata Ndio wanaendesha nchi.
Safi Sana.
Nadhani na wengine watajifunza.