Ngoja aanze unafiki wake ndipo utakapojua namna anakubali ikulu kuwa Lumumba
nyani tofauti, msitu mmoja, watazoeana tu
kapoints pia hakaMwenye copy ya kadi ya ccm ya bwana Polepole tafadhali atuwekee hapa tukate kiu ya kutaka kujuwa huyu bwana alijiunga na ccm lini!
hakuna cha mda mrefu hapo.. ni kamda kafupi watajiona wako sawaitachukua muda
nadhani inamlipa saiv kwa kazi nzuri ya kuchafua watu. Eti mchambuzi anaegemea upande mmoja na anamchambua lowasa tu mhm analysit wa wapi huyu kumbe katumwa nadhani posho imekuwa kubwa sana kuliko input yake vyeo ving mpaka vinagongana sijui aache kipi achukue kipi.una maana bora ya Nape?
Kama UKIKATIKA mkia ukarudi Zizini unaitwa "Mpachuka", UKISALITI msimamo wako kwa ajili ya cheo utaitwa POLEPOLE....Uzeeni Pole Pole atakua anatolewa mifano n.a. vijana kwa kua kijana aliefanya unafiki n.a. usaka tonge wakati wa ujana wake.
OVER
Hata pogba ni mpiga dili mzuri kama chui aliyejivisha ngozi ya kondooCcm haiwezi kurudi kwenye misingi yake. Kama enzi za Nyerere ilishindwa usitegemee huo muujiza sasa hivi.
Chama kitaendelea kuwafuga mafisadi kama kawaida yake.