Kwanza nakupa hongera kwa nafasi hiyo ya uitikadi na uenezi na pia nampa hongera na pongezi nyingi sana mwenyekiti kwa kazi kubwa aliyoifanya kumpata Pole Pole.
Wenye nia njema na wale waliotaka kuiona CCM inarudi katika misingi ya uwanzishaji wake basi watakuwa wana kubaliana na uteuzi huu wa Pole Pole..
Kabla ya katiba mpya binafsi nilikuwa simfahamu Mh Pole Pole, ila katiba mpya na kuelekea uchaguzi mkuu 2015 nilipata nafasi ya kmfahamu huyu katibu wa itikadi na uenezi wa chama..Pole Pole anaweza sanaa.
Katika teuzi zote uwaziri, URC, UDC nk. hapa mwenyekiti ameteu kweli kweli..
Bila shaka chama kitarudi katika mstari wake na hadhi na kusudio la kuanzishaa chama hiki..
ANGALIZO
Mh. Pole Pole anaweza asidumu au kumaliza muda wake katika nafasi hiyo kwa sababu ya itikadi na misimamo na hitaji lake kwa watanzania wote..
Huyu mh. anawataka watanzania bila kujali itikadi za vyama vyao lakini huyu aliyemteu ukimsoma vyema utagundua anawataka wanaCCM na siyo watanzania wote..hiki kitawagombanisha na kuwatenganisha vinginevyo hapa Pole Pole anatakiwa awe na akili zaidi ya kung'ota ili urafiki wao uweze kudumu..
IN SHORT hawa watu watashindwana mbeleni.
Wenye kunielewa wamenielewa.