Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,089
- 143,303
Yataendelea mpaka watu watakapojua wajibu wao... kufanya kazi halali ndio ule!!!
steveD said:....Mpaka pale adhabu kama hizo zitakapowafikia mafisadi papa na nyangumi. Na pale elimu ya form 4 ndiyo itakayokuwa elimu ya msingi!!
Sasa kwa nini yanaishia (adhabu) kwa vibaka "watuhumiwa" wenye njaa za kweli na si kwa mafisadi wasio na njaa, huruma, n.k.?
Uliza kwa kiingereza............
steveD,
..kuna uwezekano mkubwa kabisa kwamba kiwango cha elimu ya form 4 si kama unavyoijua wewe.
..hali ya elimu ni mbaya na ya kukatisha tamaa, haswa katika hizi sekondari za kata.
Ndugu yangu msuli mdogo... ndoto ni kuandibu mwovu yeyote, lakini huyo RA tutampata wapi tumchape bakora na kumzungushia tairi wakati analindwa na umeme, computer, bunduki, watu na mbwa???
Lakini kwa trend tunayoenda... hata huko tutafika tu, we hujasikia watu na kazi zao wanauawa kimtindo bila hata kupokwa penseli??
Tanzania tumebaki na amani picha!!!
U must've been a a little terror in the playground in your yesterdays
Nyani Ngabu,
Kweli mkuu hata mimi sizioni picha.. kiingereza chake sikijui.
Huo ndio Uungwana!Mods saidieni....kuna watu hawaoni picha
Sasa kwa nini yanaishia (adhabu) kwa vibaka "watuhumiwa" wenye njaa za kweli na si kwa mafisadi wasio na njaa, huruma, n.k.?