Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
- Thread starter
- #21
Mi uchumba wa mujini bana siuelewi elewi! Sio kwamba nasema wenzangu, pia mwenyewe sijielewi!
Mambo mtu anakwambia muoane muanze wote kununua stuli, mkeka, godoro lisilo na jina, Mhhhhh! Ukifikiria huto afford gauni la WEDDING BELLS kwa Dada Dorin! Hamu yote ya harusi inakutokaaa!
^^
Ha ha haa @ Lara 1 Mtazamo wako siku zote ni wa pekee,,halafu hadithi zenyewe za harusi zinapigwa tarehe kama mahakamani.
^^