ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
Isaac JK
Asante sana kwa ushauri wako wenye nia njema ya kujenga na kuimarisha harakati za mapambano ya ukombozi wa pili wa Mtanzania kutoka kwenye makucha ya mkoloni 'mjomba, shangazi, kaka, dada, rafiki, bibi, babu, mama, baba', walioko kwenye mwamvuli wa CCM!
Mtu akipitia andiko lako kwa umakini atabaini kuwa vitu ulivyoviandika viko very vague. Haijulikani hasa unataka kusema au kushauri nini. Mathalani vitu vyooooooooote ulivyoorodhesha hujasema vinawaangusha namna gani CHADEMA na namna gani ushauri wako ufanyiwe kazi. Lakini si mbaya, tutakujibu kwa mantiki hiyo hiyo iliyoeleweka kwenye ujumbe.
Lakini pia labda ni tabia yetu Watz kutopenda kutafuta taarifa kwanza kabla ya kusema, masuala ya media za CHADEMA, mfano tv, redio na gazeti, yameshajibiwa hapa mara kadhaa. Kuna masuala na hatua kadhaa za kupitia. Imeshaelezwa hapa, siku moja hadi nikaenda mbali nikasema watu wengine wanashangaza wanataka tuje tujadili mpango kazi na mkakati wa wa chama kwenye vyombo vya habari, kwa faida ya nani?
Takwimu sahihi za wanachama zimekuwaje? Malipo kwa watendaji wake yamekuwaje? Vitendea kazi kama magari, pikipiki, vipeperushi, vimekuwaje? Vitega uchumi vingine, vimekuwaje? Very vague, utaishia kupata majibu vague vile vile.
Chama cha mpito! Sikuwahi kufikiria mwanaCHADEMA makini anaweza hata kuwaza eti chama hiki ambacho kimeweza kuiweka kwenye kona CCM na serikali yake, kikiendesha harakati za ukombozi wa kifikra kwa miaka zaidi ya 20 mfululizo, kinaweza kuwa chama cha mpito.
Chama cha namna hiyo kinaweza kuwa CHADEMA kweli? Vyama vya mpito vingi tu tunavyoviona kwa matendo na maneno, bungeni, na nje kwenye mikutano ya hadhara na press conference, vikifanya kazi ya CCM...
Pasi na shaka, viongozi wa CHADEMA pamoja na wanachama wake makini, wanaotambua wajibu wao, wameendelea kukijenga chama hiki kwa ajili ya vizazi vilivyopita, vilivyopo na vijavyo, ndiyo maana daima kimejikita katika sera makini, mikakati endelevu na oganaizesheni thabiti, kuibua dhana za mabadiliko mapya ya kimfumo na kiutawala kwa ajili ya kuzungumzia maendeleo ya zaidi ya miaka 50 hadi 100 ijayo.
Nikushukuru tena Isaac.
Sehemu kubwa ya masuala ambayo umejaribu kushauri hapa, ama yako katika hatua mbalimbali za utekelezaji, mengine ni sehemu ya misingi ya uanzishwaji wa CHADEMA, hivyo imekuwa ni sehemu ya majukumu ya kila siku katika kuwatumikia Watanzania, zinaweza kuwa zinabadilishwa modus of operandi, kwa nia ya kuboresha, lakini lengo, dhamira na nia ikabaki pale pale.
Kitu kikubwa sana cha msingi, saidia kuwatia shime wanachama wenzako (kama nawe ni mwanachama) kushiriki katika mpango wa sasa wa kukiweka chama mikononi mwa wanachama. Masuala mengine mengi tu uliyoshauri hapa si lazima yafanywe kuanzia makao makuu, ungeweza hata kusaidia yafanayike katika ngazi ya msingi au tawi. Hivyo Isaac kama hujajiandikisha, nenda ukafanye hivyo kwenye msingi wako na ulipie kadi yako.
Bila shaka huko pia utapata fursa ya kushiriki vikao na kupata jukwaa murua la kupenyeza mawazo yako na kupata fursa ya kufuatilia na kusukuma utekelezaji wake.
Karibu.
Makene
0752 691569/ 0688595831
Yafutayo yanatuangusha chadema :-
1.ofisi za uhakika (makao makuu )
2.Gazeti huru la chama
3.Radio huru ya chama
4.Tv huru ya chama
5.Malipo kwa watendaje wake
6.vitendea kazi kama magari, pikipiki,vipeperushi,nk kuwafikia wapiga kura
7.Takwimu sahihi za wanachama
8.vitega uchumi vingine
mytake
kama viongozi wetu wa chama wataendelea kuona kama chama chetu ni cha mpito watapuuza haya. Wajijenge zaidi kuiandaa chadema kwa uzao ujao na kama chama kikubwa kilichomkomboa mtanzania kutoka kwa watanzania wachache waliojilimbikizia mali na tamaa ya madaraka na uhujumu uchumi.
viongozi wetu wa chama wasifanye chadema kama chama mkombozi wa taifa kwa kipindi tu wao walichokuwepo madarakani bali wajikite kwenye future ya chama na kuwa chadema si ya leo tu bali chadema ni ya leo na miaka ijayo kwa kuiandalia asset, resources, vitendea kazi na vitega uchumi vya kutosha
viongozi wetu waifanye chadema kama ni ya watanzania na ya uzao ujao wa watanzania na kuuandalia msingi mzuri uzao ujao utakaokuja kuiongoza chadema muda huo.Wakifanya hayo kamwe historia ya ukombozi wa taifa hili haiwezi kuwakwepa na hasa historia ya chama
kila la heri chadema

Kinachoiangusha chadema ni kuridhika na vitu visivyoridhisha.
Kitendo cha kujipongeza baada ya kuambulia viti SIFURI na kura zisizofika hata theluthi huko Iramba ni mfano mmojawapo.
Kuhusu ofisi, Sabodo aliahidi kuijengea chadema ofisi na hatua za awali zilianza. Hata hivyo ufujaji wa pesa ulimfanya Sabodo afute mikakati yote ya kuijengea chadema ofisi.
Mngekuwa mnamjua mmiliki wa jengo walilopanga chadema pale Kinondoni na kiasi cha pesa wanayomlipa, msingeshangaa kuona hawatakai kuama. Ufisadi unaitafuna chadema...
Kuhusu malipo ya watendaji, sio kweli kwamba watendaji hawalipwi vizuri. Ukwlei ni kwamba kuna ubaguzi. Wapo watendaji wanaolipwa vizuri na wale walioachwa bila malipo. Ndio maana Dr. Slaa alitoa amri Heche alipwe mshahara mnono wakati taratibu zinasema kazi yake inatakiwa kuwa ya kujitolea. Ubaguzi unaitafuna chadema.
Kuhusu gazeti la chama, lipo gazeti la mwanachama na kiongozi ambalo linalipwa fungu nono kufanya kazi za chama. Hii ndio sababu ya kutokuanzishwa gazeti la chama. Chama kimegeuzwa mradi binafsi wa viongozi. Kuna mdau na kiongozi wa chadema yuko mbioni kuanzisha TV yake kwa matumaini kuwa nayo itakuwa inapokea fungu kufanya kazi za chama. Ufisadi unaitafuna chadema.

These guys are not serious.
Chama kina zaidi ya miaka 20 (ISHIRINI) tangu kianzishwe lakini swla muhimu kama kujipatia ofisi bado liko kwenye "hatua mablimbali za utekelezaji".
Hiki ndio chama kinachowalaghai wananchi kuwa kina uwezo wa kubadilisha hali ya maisha ya watanzania kwa miaka mitano, wakati chenyewe zaidi ya miaka 20 kimeshindwa hata kupata ofisi ya kujihifadhi.
Wajinga ndio waliwao...
Ndugu Tumaini Makene umesema maelezo ya Isaac JK ni "Very vague" are you serious? Hivi wewe si ndiyo vague zaidi? mbona na wewe unasema mambo mengi yapo kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji (mchakato). hivi hukumbuki hili neno limekuwa linaleta chuki hata katika serikali (mchakato) mpaka wananchi wanakasirika?
kuna majibu ambayo ungeweza kujibu moja kwa moja
mfano kuhusu ofisi kuna shida gani kusema tumeshajenga msingi tunaendelea au tuna michoro? Je namna maandamano yanavyokuwa organized haiwezekani kufanya hivyo katika kujenga ofisi hasa za mikoani ambazo ni aibu hata kuzitizama?
kuhusu gazeti - Tanzania daima ni la chama au mtu binafsi na je kuna ruzuku inatolewa kwa gazeti ambalo si la chama? ungeweza kujibu kwa ufupi tu kwamba gazeti ni la mtu binafsi au la chama.
kuhusu takwimu - Je wanachama wangapi? hii inahitaji mchakato upi wakati kula mara kadi zinatolewa?
mimi wasiwasi wangu nyie wenye nafasi katika CHADEMA mnajisahau na tunarudi kule kule. You guys you must show the difference otherwise mie huwa naona wanasiasa wote ni walewale - walaghai tu

Makene anajua jinsi ya kujibu na ana uwezo mkubwa tu wa kupanga hoja zikaeleweka.
Jibu alilolitoa hapa ni ujumbe tosha kuwa chama kinaendeshwa kilaghai. Anajaribu kumtupia lawama muuliza swali kuwa yuko vague, lakini yeye anatumia mistari mingi kujibu in a vague manner kuwa wako kwenye mchakato.
Hawa watu ni MATAPELI...
Kama wewe ni mwanamke ni malaya.
Unajifanya mshauri wa CDM wakati unaiombea kifo.
Kinachoiangusha chadema ni kuridhika na vitu visivyoridhisha.
Kitendo cha kujipongeza baada ya kuambulia viti SIFURI na kura zisizofika hata theluthi huko Iramba ni mfano mmojawapo.
Kuhusu ofisi, Sabodo aliahidi kuijengea chadema ofisi na hatua za awali zilianza. Hata hivyo ufujaji wa pesa ulimfanya Sabodo afute mikakati yote ya kuijengea chadema ofisi.
Mngekuwa mnamjua mmiliki wa jengo walilopanga chadema pale Kinondoni na kiasi cha pesa wanayomlipa, msingeshangaa kuona hawatakai kuama. Ufisadi unaitafuna chadema...
Kuhusu malipo ya watendaji, sio kweli kwamba watendaji hawalipwi vizuri. Ukwlei ni kwamba kuna ubaguzi. Wapo watendaji wanaolipwa vizuri na wale walioachwa bila malipo. Ndio maana Dr. Slaa alitoa amri Heche alipwe mshahara mnono wakati taratibu zinasema kazi yake inatakiwa kuwa ya kujitolea. Ubaguzi unaitafuna chadema.
Kuhusu gazeti la chama, lipo gazeti la mwanachama na kiongozi ambalo linalipwa fungu nono kufanya kazi za chama. Hii ndio sababu ya kutokuanzishwa gazeti la chama. Chama kimegeuzwa mradi binafsi wa viongozi. Kuna mdau na kiongozi wa chadema yuko mbioni kuanzisha TV yake kwa matumaini kuwa nayo itakuwa inapokea fungu kufanya kazi za chama. Ufisadi unaitafuna chadema.
kama ni kweli wewe inakuuma nini si ushangilie basi.......
Kuna watu mnaoamini kuwa jinsia ya kike ni kama chombo cha kutumia ili kutukana. Hilo ni tatizo ambalo linasababishwa na kuwa primitive.
Vijana wa bavicha ndio matatizo yenu. Ndio maana mlimfanyia fitina Juliana Shonza asiwe kiongozi kutokana tu na jinsia yake.
Jifunzeni kwuaheshimu akina mama. Bila kuwepo kwa mama usingekaa hapo unaandika mawazo yako ya ki- bavicha bavicha...
Nimekufananisha na malaya kwa kuwa una tabia hizo.