Yafutayo yanatuangusha chadema :-
1.ofisi za uhakika (makao makuu )
2.Gazeti huru la chama
3.Radio huru ya chama
4.Tv huru ya chama
5.Malipo kwa watendaje wake
6.vitendea kazi kama magari, pikipiki,vipeperushi,nk kuwafikia wapiga kura
7.Takwimu sahihi za wanachama
8.vitega uchumi vingine
mytake
kama viongozi wetu wa chama wataendelea kuona kama chama chetu ni cha mpito watapuuza haya. Wajijenge zaidi kuiandaa chadema kwa uzao ujao na kama chama kikubwa kilichomkomboa mtanzania kutoka kwa watanzania wachache waliojilimbikizia mali na tamaa ya madaraka na uhujumu uchumi.
viongozi wetu wa chama wasifanye chadema kama chama mkombozi wa taifa kwa kipindi tu wao walichokuwepo madarakani bali wajikite kwenye future ya chama na kuwa chadema si ya leo tu bali chadema ni ya leo na miaka ijayo kwa kuiandalia asset, resources, vitendea kazi na vitega uchumi vya kutosha
viongozi wetu waifanye chadema kama ni ya watanzania na ya uzao ujao wa watanzania na kuuandalia msingi mzuri uzao ujao utakaokuja kuiongoza chadema muda huo.Wakifanya hayo kamwe historia ya ukombozi wa taifa hili haiwezi kuwakwepa na hasa historia ya chama
kila la heri chadema
Hiyo redio na tv vitakuwa vinatangaza propaganda kama gazeti la tz daima lilivyo hivi sasa, full uzushiNakuunga mkono ni kweli viongozi wetu wapiganie uanzishwaji wa tv na redio ya chama, pia hata ofisi! Hii itakisaidia sana chama kuelekea kuleta mabadiliko ya kweli!
Yafutayo yanatuangusha chadema :-
1.ofisi za uhakika (makao makuu )
2.Gazeti huru la chama
3.Radio huru ya chama
4.Tv huru ya chama
5.Malipo kwa watendaje wake
6.vitendea kazi kama magari, pikipiki,vipeperushi,nk kuwafikia wapiga kura
7.Takwimu sahihi za wanachama
8.vitega uchumi vingine
mytake
kama viongozi wetu wa chama wataendelea kuona kama chama chetu ni cha mpito watapuuza haya. Wajijenge zaidi kuiandaa chadema kwa uzao ujao na kama chama kikubwa kilichomkomboa mtanzania kutoka kwa watanzania wachache waliojilimbikizia mali na tamaa ya madaraka na uhujumu uchumi.
viongozi wetu wa chama wasifanye chadema kama chama mkombozi wa taifa kwa kipindi tu wao walichokuwepo madarakani bali wajikite kwenye future ya chama na kuwa chadema si ya leo tu bali chadema ni ya leo na miaka ijayo kwa kuiandalia asset, resources, vitendea kazi na vitega uchumi vya kutosha
viongozi wetu waifanye chadema kama ni ya watanzania na ya uzao ujao wa watanzania na kuuandalia msingi mzuri uzao ujao utakaokuja kuiongoza chadema muda huo.Wakifanya hayo kamwe historia ya ukombozi wa taifa hili haiwezi kuwakwepa na hasa historia ya chama
kila la heri chadema
Yafutayo yanatuangusha chadema :-
1.ofisi za uhakika (makao makuu )
2.Gazeti huru la chama
3.Radio huru ya chama
4.Tv huru ya chama
5.Malipo kwa watendaje wake
6.vitendea kazi kama magari, pikipiki,vipeperushi,nk kuwafikia wapiga kura
7.Takwimu sahihi za wanachama
8.vitega uchumi vingine
mytake
kama viongozi wetu wa chama wataendelea kuona kama chama chetu ni cha mpito watapuuza haya. Wajijenge zaidi kuiandaa chadema kwa uzao ujao na kama chama kikubwa kilichomkomboa mtanzania kutoka kwa watanzania wachache waliojilimbikizia mali na tamaa ya madaraka na uhujumu uchumi.
viongozi wetu wa chama wasifanye chadema kama chama mkombozi wa taifa kwa kipindi tu wao walichokuwepo madarakani bali wajikite kwenye future ya chama na kuwa chadema si ya leo tu bali chadema ni ya leo na miaka ijayo kwa kuiandalia asset, resources, vitendea kazi na vitega uchumi vya kutosha
viongozi wetu waifanye chadema kama ni ya watanzania na ya uzao ujao wa watanzania na kuuandalia msingi mzuri uzao ujao utakaokuja kuiongoza chadema muda huo.Wakifanya hayo kamwe historia ya ukombozi wa taifa hili haiwezi kuwakwepa na hasa historia ya chama
kila la heri chadema
Kweli masisiem ni vichaa kama huyu zemakopo na pumba zake hapo juu...refer kova na cheniso na movie zao za vichaa..Kinachoiangusha chadema ni kuridhika na vitu visivyoridhisha.
Kitendo cha kujipongeza baada ya kuambulia viti SIFURI na kura zisizofika hata theluthi huko Iramba ni mfano
mmojawapo.
Kuhusu ofisi, Sabodo aliahidi kuijengea chadema ofisi na hatua za awali zilianza. Hata hivyo ufujaji wa pesa ulimfanya Sabodo afute mikakati yote ya kuijengea chadema ofisi.
Mngekuwa mnamjua mmiliki wa jengo walilopanga chadema pale Kinondoni na kiasi cha pesa wanayomlipa, msingeshangaa kuona hawatakai kuama. Ufisadi unaitafuna chadema...
Kuhusu malipo ya watendaji, sio kweli kwamba watendaji hawalipwi vizuri. Ukwlei ni kwamba kuna ubaguzi. Wapo watendaji wanaolipwa vizuri na wale walioachwa bila malipo. Ndio maana Dr. Slaa alitoa amri Heche alipwe mshahara mnono wakati taratibu zinasema kazi yake inatakiwa kuwa ya kujitolea. Ubaguzi unaitafuna chadema.
Kuhusu gazeti la chama, lipo gazeti la mwanachama na kiongozi ambalo linalipwa fungu nono kufanya kazi za chama.
Hii ndio sababu ya kutokuanzishwa gazeti la chama. Chama kimegeuzwa mradi binafsi wa viongozi. Kuna mdau na kiongozi wa chadema yuko mbioni kuanzisha TV yake kwa matumaini kuwa nayo itakuwa inapokea fungu kufanya kazi za chama. Ufisadi unaitafuna chadema.
Hiyo ni NGO ya mtu usitegemee kuona hayo
Kule singida wala usichukulie kama ni kipimo cha hali ya siasa Nchini. sehemu kubwa kule wanadhani bado wana mpigia kura NYERERE na ccm yake kumbe mtakatifu yule alisha kufa zamani.kwahiyo usifurahie sana hilo wale wasonjo na wahadzabe actually walidhani wanachagua watu wa Nyerere.Subiri uone dhahama mtakayo ipata mtwara na Lindi kuanzia sasa na kuendelea.Kinachoiangusha chadema ni kuridhika na vitu visivyoridhisha.
Kitendo cha kujipongeza baada ya kuambulia viti SIFURI na kura zisizofika hata theluthi huko Iramba ni mfano mmojawapo.
Kuhusu ofisi, Sabodo aliahidi kuijengea chadema ofisi na hatua za awali zilianza. Hata hivyo ufujaji wa pesa ulimfanya Sabodo afute mikakati yote ya kuijengea chadema ofisi.
Mngekuwa mnamjua mmiliki wa jengo walilopanga chadema pale Kinondoni na kiasi cha pesa wanayomlipa, msingeshangaa kuona hawatakai kuama. Ufisadi unaitafuna chadema...
Kuhusu malipo ya watendaji, sio kweli kwamba watendaji hawalipwi vizuri. Ukwlei ni kwamba kuna ubaguzi. Wapo watendaji wanaolipwa vizuri na wale walioachwa bila malipo. Ndio maana Dr. Slaa alitoa amri Heche alipwe mshahara mnono wakati taratibu zinasema kazi yake inatakiwa kuwa ya kujitolea. Ubaguzi unaitafuna chadema.
Kuhusu gazeti la chama, lipo gazeti la mwanachama na kiongozi ambalo linalipwa fungu nono kufanya kazi za chama. Hii ndio sababu ya kutokuanzishwa gazeti la chama. Chama kimegeuzwa mradi binafsi wa viongozi. Kuna mdau na kiongozi wa chadema yuko mbioni kuanzisha TV yake kwa matumaini kuwa nayo itakuwa inapokea fungu kufanya kazi za chama. Ufisadi unaitafuna chadema.
Mkuu miradi yote hiini muhimu sana ila umesahau ya kwamba cdm wanatumia hela yote ya ruzuku kwenye maandamano yasio kuwa na kichwa wala miguu,
Yafutayo yanatuangusha chadema :-
1.ofisi za uhakika (makao makuu )
2.Gazeti huru la chama
3.Radio huru ya chama
4.Tv huru ya chama
5.Malipo kwa watendaje wake
6.vitendea kazi kama magari, pikipiki,vipeperushi,nk kuwafikia wapiga kura
7.Takwimu sahihi za wanachama
8.vitega uchumi vingine
mytake
kama viongozi wetu wa chama wataendelea kuona kama chama chetu ni cha mpito watapuuza haya. Wajijenge zaidi kuiandaa chadema kwa uzao ujao na kama chama kikubwa kilichomkomboa mtanzania kutoka kwa watanzania wachache waliojilimbikizia mali na tamaa ya madaraka na uhujumu uchumi.
viongozi wetu wa chama wasifanye chadema kama chama mkombozi wa taifa kwa kipindi tu wao walichokuwepo madarakani bali wajikite kwenye future ya chama na kuwa chadema si ya leo tu bali chadema ni ya leo na miaka ijayo kwa kuiandalia asset, resources, vitendea kazi na vitega uchumi vya kutosha
viongozi wetu waifanye chadema kama ni ya watanzania na ya uzao ujao wa watanzania na kuuandalia msingi mzuri uzao ujao utakaokuja kuiongoza chadema muda huo.Wakifanya hayo kamwe historia ya ukombozi wa taifa hili haiwezi kuwakwepa na hasa historia ya chama
kila la heri chadema
Kinachoiangusha chadema ni kuridhika na vitu visivyoridhisha.