Malungwana
Senior Member
- Sep 14, 2013
- 187
- 99
Habari wana jamii.
Haya mambo yanatokea Zanzibar tu, sujawahi kuona.
Juzi kati, kama siku mbili tu hivi zilizopita, pale kwenye "take away restaurant Malindi Zanzibar" palitokea wizi, usiku, basi vijana wakamfukuza yule mwizi, wakamkamata wakampigaaa, then wakajifanya eti wanampeleka police, kumbe wakampeleka sehemu wakaanza kumlawiti huwezi amini wakamlawiti sana, yule kijana kutoka pale akaenda police kushitaki, akaseme kweli mimi nilikua naiba lakini baada ya kunikamata ilikua wanipeleke police, lakini kinyume chake wananilawiti,....... ukichunguza sana unakuta huyo kijana aliyelawitiwa ni kijana wa kibongo (kutoka bara).
Ikitokea fujo Zanzibar, na akiwa anayepigwa ni mbongo, basi watu hawaingilii kabisa, na utasikia kauli, "acha afe, mbongo sio mtu kabisa" dah!
Kuna jamaa (mbongo) kajenga maeneo ya Bububu Kijichi, basi kajenga katikati na amezungukwa na wazanzibari ( hasa wapemba) jamaa ana kijigari, basi yaani wanasema kweli, "ilikuaje mbongo akapata maeneo hapa" jamaa ni muislam, ila tatizo ni mbongo!!!!!
Jamaa mwengine yeye amejenga maeneo ya Kwarara, tene yupo maeneo yale siku nyingi kweli, kabla hata hao jamaa ( wapemba) hawajahamia, wao ndio waazilishi, ila sasa wamejaa na nyumba yake yote imezungukwa, miezi kama mitatu nyuma, aliwekewa bomu la kutengenezwa nyumbani kwake wakitaka wairipue nyumba yake, hadi wakaja wanajeshi ndio wakalitoa hilo bomu, hivi sasa jamaa anauza nyumba yake ahame pale, tatizo wanunuzi ndo wale wale, wanailazia bei nyumba yake ili waichukua kwa bei rahisi, jamaa ni muisilamu safi sana, swala tano tena, ila tatizo ni "mbongo"
Kuna mwengine yeye ni mzaliwa kabisa wa Zanzibar, kasoma na kakulia Zanzibar, ana kazi yake nzuri tu ya ujasiriamali, sasa ameoa Mzanzibari ( sio mpemba), yaani sasa jamaa wanakua wanamshangaa sana, yaani wanasema " eti oooo inakuaje mbongo aoe mzanzibari, si akachukuwe wabomgo wenzake kule Tabora" tatizo ni nini jamani.
Dhambi ya ubaguzi Zanzibar haitaisha kabisa, ila mimi najiuliza je huko Dar, maeneo ya Kariakoo ambapo wamejazana kama njugu hivi wanabagukiwa kama hivi? kila kona sasa ya Tanzania bara wamejaa, je wanabaguliwa?
Naomba majibu jamani.