Haya yamemzika Lowassa kisiasa

Nanukuu mbunge mmoja wa lindi/mtwara aliwamwambia magufuli umetufanya watoto waaadooogooo? So na huyu mtoa maada anafanana na huyu magufuri we need change no figisu figisu hapa
 

Sawa kabisa mkuu huu upuzi wa kulalamika tuuuuu huku sheria wanazo wanazo wamekaria huku wanaiba zaidi wanamsingizia mtu mmoja kati ya milioni tano Ccm bana watoke tuu
 

Haaaa kwa kweli wanalo wamekaria tiiiiii
 
Hazikwi mtu hapa ni full shangwe any tme. Mtachonga sana but Lowasa ndo chaguo la waTz
 
Kama alikuwa muhsika au mtuhumiwa asingeruhusiwa na nec kuchukua form nyie fisiem mtasema sana sasa subirini muone hiyo kazi ya sisi malofa na mateja tereh 25
 
Ambaye sio mwizi na apite mbele ama anyooshe kidole haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…